Hii tunaitaje

Hii tunaitaje

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
557139_3223381683734_191299079_n.jpg
 
Kuwa uyaone! C maghorofa ya k'koo! Hii kitu inapatikana sehemu za irnga hasa makambako, hii ni kwa ajili ya kuwekea pombe ya ulezi. Kule songea namtumbo wanaita "kinomba!.
 
hiyo inaitwa TV isiyoonekana bana maana inayoruka hewani nyakati za usiku

ehee kumbe wewe ni mnywaji mzuri heee makubwa pretty upo saidia dogo huyo asijepepesuka ovyo
 
hapo hata picha yako inaweza kuvutwa ikaonekana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom