Hii tuiiteje?

Ndio hiyo hiyo unalose self control,ndio maana baada ya tukio watu hujilaumu,losing self control leads to several risks,vitu ambavyo mara nyingi vinaweza kukufikisha kwenye hiyo hali ni pamoja na Chronic stress,Anxiety,na kuna ile hali mtu anajihisi powerless over his own life,once emotion spike drops,ndio unakutana na matokeo ya long time regreat and shame.
 
Sure thing but all that can be learned and adjusted as we keep experiencing life.
 
hapo kwenye mimba shida ni mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…