Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,994
- 14,826
Kuna nchi ukikamatwa na dawa za kulevya,hukumu yake ni Kifo tu,
wapo waliokamatwa na wakahukumiwa kifo,ila bado wapo watu wanaendelea ku take risk kupeleka dawa za kulevya kwenye hizo nchi,
Maisha ni kutake risk,
Watu walitake risk maisha yao,ndio maana leo hii tunaishi kwenye haya maisha ya leo,hizi ndege zilipata sana ajali ila watu hawakuacha kufanya research na kutake tena risk ya kuruka angani na Ndege,
If you don't take risk,you will always work for someone who does.
Nyingi tu sijavunjaMtu anasikia mwenzake kauliwa kwabki cheat ila bado na yeye anacheat na anakuja kuuliwa siku chache...
Ndio ujue kila binadamu ana namna yake ya kufikiri na kuwaza na tukio moja halifanyi binadamu kuacha kupiga matukio.
Imagine tokea uzaliwahubiriwa dhambi na hizo dhambi ushazitenda zote.
Mfano mtoa mada Sister Abigail katika amri KUMI za Mungu ipi bado hujaivunja kisawasawa?
Haya mkuuKama ni kweli una 45 basi hiyo 81 unayozaliwa nilikuwa tayari nina mitano Muthill ya mitano tena ya samia.Nina 50 sema tu nikiingia humu JF nakuwa mpuuzi naungana na baadhi ya wapuuzi wenzangu na kuwa mpuuzi mwandamizi ila katika huo upuuzi nimezidiwa na watu kama kina Tlaatlaah
Chache ulizovunja ni zipi?Nyingi tu sijavunja
Watu wakiishi kama unavyoshauri wewe basi hii Dunia itakua ni peponi,kitu ambacho hakiwezekani kabisa,Naongelea kufanya maamuzi ambayo hujajiandaa Kwa matokeo yake huku unayajua,mfano mkuu ni Dickson pale juu..kuna wanaojiandaa kama kweka na wasiojiandaa.
Shida ni wasiojiandaa huku wanajua matokeo na hawayataki.
Uliamua Nini kufanya ikiwa hukujiandaa Kwa matokeo?
Kijana unajua kabisa matokeo ya kufanya mapenzi bila Kinga ni mimba,unafanya pekupeku,kelele zinaanza ooh sizioni siku zangu unakula Kona..mnaanza kukimbizana huku na kule mimba huitaki matunzo huna.kabla hujamwaga kavu hukujua matokeo ni Nini?
Ulijua
Now matokeo unayakimbia kama sio uchizi ni Nini..
Kabla hukujua hauko tayari kuitwa baba?
Na haikuwa ndani ya uwezo wako kuepuka.
Ndio matokeo ya kuendeshwa na hisisa zaidi ya kufikiri?
Watu wakiishi kama unavyoshauri wewe basi hii Dunia itakua ni peponi,kitu ambacho hakiwezekani kabisa,
Binadamu tutatofautiana,huwezi kuacha kununua Gari au kupanda Gari kisa kuna Gari imepata ajali na imeua watu wote,
Nimeelezea zaidi kwenye comment yangu #14
Kama nne tu hivi basiChache ulizovunja ni zipi?
Kwahiyo uwezekano mkubwa ni afya ya akili?Afya ya akili ni hali ya ustawi wa kihisia, kisaikolojia, na kijamii inayowawezesha watu kukabiliana na changamoto za maisha, kutambua uwezo wao katika kuyamudu mazingira mbalimbali, kujifunza na kufanya kazi vyema kwa kadri ya jamii husika, na kuchangia au kuwa na mchango chanya kwenye jamii yao.
Kinyume na hapo unakuwa una changamoto ya afya ya akili.
Kwahiyo uwezekano mkubwa ni afya ya akili?
Uwezo wao wa kujidhibiti na kuchanganua mambo unakuwa mashakani kiutendaji wakati wa situation ngumu kama hizo?
Swala ni kufa au kupona, nikipata nitakula nikikosa najua matokeo ila sio kwamba sitajiokoa uhaiKinachowakimbiza Nini ikiwa walijua na wakajiandaa Kwa matokeo?
We unaona mwenzio kaiba kashikwa kachomwa moto,kwanini Lile tukio lisikupe tafakari ya unachofanya ikiwa hutaki kuishia kule?
Ukiamua kuiba inamaanisha uko tayari Kwa matokeo.
Nimeelewa mkuuSwala ni kufa au kupona, nikipata nitakula nikikosa najua matokeo ila sio kwamba sitajiokoa uhai
🤣🤣Tunasemaga....
Mfungwa hachagui gereza..
Ngariba haogopi mkojo..
Mchagua nunu sio mchakata jagina....
Nishakucheck PM mkuu...😋
Mleta mada aishi humuUbongo wa Binadamu hupendelea zaidi kufuata tabia au njia zilizo zoeleka zaidi au zilizo kua ni rahisi zaidi hata kama zina madhara,badala ya kutumia nguvu nyingi na muda mwingi zaidi kufikiri au kutengeneza njia mpya ambazo ni salama,pia,
Hii tabia ni issue ya kisaikolojia zaidi ila mleta mada ni kama vile hakutaka kukubaliana na ukweli halisi,Mleta mada aishi humu
The brain knows what's comfortable not what's best
Sio kwamba viko out of self control to say.Hii tabia ni issue ya kisaikolojia zaidi ila mleta mada ni kama vile hakutaka kukubaliana na ukweli halisi,
Kuna vitu sometimes vinakua out of your self control.