Hii tuiiteje?

Umenena vema.
Hisia zikitawala Zina nguvu ya kuzidi uwezo wa kufikiri?
 
Kuna nchi ukikamatwa na dawa za kulevya,hukumu yake ni Kifo tu,
wapo waliokamatwa na wakahukumiwa kifo,ila bado wapo watu wanaendelea ku take risk kupeleka dawa za kulevya kwenye hizo nchi,
Maisha ni kutake risk,

Watu walitake risk maisha yao,ndio maana leo hii tunaishi kwenye haya maisha ya leo,hizi ndege zilipata sana ajali ila watu hawakuacha kufanya research na kutake tena risk ya kuruka angani na Ndege,

If you don't take risk,you will always work for someone who does.
 
Mapenz bhana kwani zamani watu waliwezaje jamni kucontrol hisia zao tenacwalikuwa mashababi na wenye nguvu

Sisi ni uwezo finyu wa kuchanganua mambo?matumiz ya bangi au nini jamn
Zamani kulia na usiri mkubwa sana,siku hizi hakuna siri tena,

Zamani watoto wa nje walijulikana siku ya msiba wa Baba yao,leo hii hakuna siri tena,kila mtu anataka kua wa kwanza kuvujisha siri.
 
Sawa.lakini naongelea mambo amabayo yako Ina your control..hata ajali ni suala la anaeednsha kama ni bus la abiria hapo ni dereva sio abiria.
Naongelea mamboa amabyo yapo ndani ya uwezo wako kutoamua kuyafanya na kuyazuia ukijua effects zake.au sivyo basi Fanya kama uko tayari Kwa matokeo yake.
Shida ni Ile reaction baada ya kufanya jambo Kwa maamuzi yako mwenyewe..kwanini baada ya maamuzi ujutie?
Kwanini ukimbie?
Kabla ulidhamiria Nini au ilikuwa ghafla akili ilisimama?

Halafu naomba usiniite dogo.mie ni mama wa makamo miaka 45.sawa kijana?
 
mimi niko na 50 dogo.Anyway ulivyo wewe sio kila mtu yuko hivyo
 
Mkuu, hakuna majuto hapo, hao wanajua kifuatacho na walishajua mwisho ni jela
 
Zamani kulia na usiri mkubwa sana,siku hizi hakuna siri tena,

Zamani watoto wa nje walijulikana siku ya msiba wa Baba yao,leo hii hakuna siri tena,kila mtu anataka kua wa kwanza kuvujisha siri.
Yaani ni balaa uvumilivu na usiri hakuna shida ni mitandao

Mamia ya watu wanaelezea kuhusu ubaya wa ndoa kias wenye ndoa nzuri hawawez kuongea wamemezwa
Na akili ya binadamu sometimes inakula inachosikia zaidi
Wivu kwani ukiwa na wivu ndo uue
Nyumba milion 200 zimtoe mtu uhai na mna watoto
 
Muda wa kuishi ni mfupi sana hivyo kila mtu anajaribu kupata experience tofauti tofauti kila kukicha

NB:UKIONDOKA HAURUDI.
 
Mkuu, hakuna majuto hapo, hao wanajua kifuatacho na walishajua mwisho ni jela
Kinachowakimbiza Nini ikiwa walijua na wakajiandaa Kwa matokeo?
We unaona mwenzio kaiba kashikwa kachomwa moto,kwanini Lile tukio lisikupe tafakari ya unachofanya ikiwa hutaki kuishia kule?
Ukiamua kuiba inamaanisha uko tayari Kwa matokeo.
 

Afya ya akili ni hali ya ustawi wa kihisia, kisaikolojia, na kijamii inayowawezesha watu kukabiliana na changamoto za maisha, kutambua uwezo wao katika kuyamudu mazingira mbalimbali, kujifunza na kufanya kazi vyema kwa kadri ya jamii husika, na kuchangia au kuwa na mchango chanya kwenye jamii yao.

Kinyume na hapo unakuwa una changamoto ya afya ya akili.

Hapa hakuna wa kupewa lawama bali kutambua muusika na kusaidiana, hii ni kwa sababu matatizo haya:
1: Huweza kuwa ni matokeo ya kasoro wakati wa kuumbwa kwa mhusika/wakati wa kutungwa mimba.
2: Wakati wa makuzi yake na utu uzima na changamoto zake.
3: Kurithi

Tatizo ni kuwa elimu hii hajatiliwa maanani sana na hatuoni kama ni tatizo na inatutafuna kimyakimya.

Wazazi, Walimu, jamii, taasisi mbalimbali na serikali zimeweka nguvu kidogo sana kwenye hili.
 
Shusha namba hizo dogo..we gen Z nakujuaa🤣
Kama ni kweli una 45 basi hiyo 81 unayozaliwa nilikuwa tayari nina mitano Muthill ya mitano tena ya samia.Nina 50 sema tu nikiingia humu JF nakuwa mpuuzi naungana na baadhi ya wapuuzi wenzangu na kuwa mpuuzi mwandamizi ila katika huo upuuzi nimezidiwa na watu kama kina Tlaatlaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…