Hii trust imekaa mkao wa kudaka

Inkoskazi

Member
Apr 12, 2010
33
15
Kuna "TRUST" imezinduliwa juzi juzi na moja ya majukumu yake ni kushughulikia madawati kwa ajili ya shule za msingi/kata. Waziri mwenye dhamana ya mambo ya nje alisema hii chenji lazima irudi na tutaielekeza katika madawati, isitoshe wabunge pamoja na naibu spika walitumwa Uingereza kufuatilia hii chenji ambayo hata wao wakasisitiza kuwa itapelekwa kwenye madawati. Ghafla kumeibuka Hassan Maajar Trust Fund ambayo ina uhusiano na balozi wetu wa zamani nchini Uingereza na wanasema "Trust" yao inataka kusaidia kuondoa shida ya madawati nchini.
Mhhhh, hebu tutafakari hapa.

"Moringe wote ni wamasai lakini sio kila Moringe ni mmasai"
 
Kazi tunayo kama ni ya kweli, uhusiano wa wahusika ni wa karibu na unanipa mashaka, wameshajipanga kwa 2015, na ni kweli wanaweza kuziweka pesa zote huko ili wajiandae na Uchaguzi wa 2015.
Miaka ya 2005, 2010 walikuja na Kagoda, Richmond, Dowans. Makampuni hewa yasiyo na Uwezo.
Kazi Kweli Kweli, Tuombee taifa letu
 
hiyo chenji si tungenunua majenerator tuondoe tatizo la umeme hayo madawati hata sisi kama wananchi tunaweza kuchanga nayakapatikana inabidi tuwe makini na haya mazingaobwe.
 
Back
Top Bottom