DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,386
- 46,584
Wengine wanavaa kuficha mvi kama madam....Nipo Sehemu za Uswahilini naona wanawake na wahuni wote wanavaa vizuri wanapiga ushungi Kama wa Madam president so niseme ni Jambo zuri Sana endapo mkaishia hivyo Maisha yenu yote.
Imekuwa kawaida watu kumuigizia Mungu wakati wa Ramadhani na baada ya huu Mwezi kuisha watu wanarudi katika uchafu so this is None-jjha mbisense iidiotism philosophy
The repentance is now there's no reason to Fake anymore.
Ramadhan KAREEM
Nikopeshe Laki.Wazugaji hao..unafki mtupu bora Mimi ninaendelea kula pombe sina kwaresma sala ramadhan
ACHA kuhangaika na maisha ya watu...huna shughuli ya kufanya!?Nipo Sehemu za Uswahilini naona wanawake na wahuni wote wanavaa vizuri wanapiga ushungi Kama wa Madam president so niseme ni Jambo zuri Sana endapo mkaishia hivyo Maisha yenu yote.
Imekuwa kawaida watu kumuigizia Mungu wakati wa Ramadhani na baada ya huu Mwezi kuisha watu wanarudi katika uchafu so this is None-sense iidiotism philosophy
The repentance is now there's no reason to Fake anymore.
Ramadhan KAREEM
Acha kupinga juhudi za mtu, muhimu ni kuombeana tukianza tusiache, hakuna alie mkamilifu hapa duniani, shida ni tabia ya binadamu kuona mwenzake anakosea sana ila yeye anakosea kidogoNipo Sehemu za Uswahilini naona wanawake na wahuni wote wanavaa vizuri wanapiga ushungi Kama wa Madam president so niseme ni Jambo zuri Sana endapo mkaishia hivyo Maisha yenu yote.
Imekuwa kawaida watu kumuigizia Mungu wakati wa Ramadhani na baada ya huu Mwezi kuisha watu wanarudi katika uchafu so this is None-sense iidiotism philosophy
The repentance is now there's no reason to Fake anymore.
Ramadhan KAREEM
Hata manabii walifanya makosa pamoja na kuwa karibu na Mungu, sisi binadamu wa kawaida kufanya makosa kupo, mtu anapofanya jema ni jambo jema, akirudia ubaya tumuonye , hakuna alie mkamilifu unashangaa ubaya wa watu wengine wakati wewe una wako vile vile ambao kuacha umeshindwaMimi hamna watu nawaona wanafiki kama wanaobadilisha maisha mwezi wa ramadhani, ukiisha wanarudi uchafuni
- mtu anaacha uzinzi/anavaa kwa stara kwa mwezi mmoja. ukiisha anarudi kwenye laana.
mi naona ni either ubadilike moja kwa moja or uendelee na mambo yako ya sikuzote.
Kuna watu wao sikuzote huwakosi msikitini wala mavazi hayabadiliki hawa mi naona ndo wanastahili kufunga
mtu anangoja mwezi mmoja kila mwaka ili afanye jema??? mko serious kweliHata manabii walifanya makosa pamoja na kuwa karibu na Mungu, sisi binadamu wa kawaida kufanya makosa kupo, mtu anapofanya jema ni jambo jema, akirudia ubaya tumuonye , hakuna alie mkamilifu unashangaa ubaya wa watu wengine wakati wewe una wako vile vile ambao kuacha umeshindwa