Hii trekta millioni 46 tu

Hii trekta millioni 46 tu

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
8,988
Reaction score
11,862
Hii chombo bei yake ni Millioni 46 tu.
IMG_20221115_145714.jpg

Kama unahitaji, jichange piga hii simu haraka 0747744895.
 
Mwendo wa kukodi tu. Mambo ya umiliki haina ulazima sana.
 
Utaratibu wa kukopeshwa umekaaje? Yaani unalipa kiasi gani kwanza, halafu kiasi kinachobakia kulipwa kila mwezi ndani ya muda fulani?

Au hiyo trekta yako ni ya kulipa kwa cash?
 
Changamoto ya trector za volvo watu wanaziogopa vipuli, ila kwa upande wangu ninayo moja nimei import kutoka china engine ni cums na wechai ziko poa wapunguze bei kama wanataka wateja hawawezi kuingia sokoni na kuanza na bei hiyo
mbona hiyo bei ndogo sana
 
Changamoto ya trector za volvo watu wanaziogopa vipuli, ila kwa upande wangu ninayo moja nimei import kutoka china engine ni cums na wechai ziko poa wapunguze bei kama wanataka wateja hawawezi kuingia sokoni na kuanza na bei hiyo
Hiyo ni VOLVO kweli? Au mie sijaelewa vizuri
 
Changamoto ya trector za volvo watu wanaziogopa vipuli, ila kwa upande wangu ninayo moja nimei import kutoka china engine ni cums na wechai ziko poa wapunguze bei kama wanataka wateja hawawezi kuingia sokoni na kuanza na bei hiyo
Bei ndogo sana Kwa tractor hiyo ,sasa wewe utaweza nunua mitambo ya John Deere au Marsey Ferguson kweli wewe .Kilimo ni biashara kubwa na inahitaji uwekezaji wa uhakika si kilimo cha kubahatisha . Kama kweli uko serious na kilimo chukua mtambo huo ,wakulima waache jembe la mkono kabisa ,hamna tija ,ni bora mjichange hata watu wawili watatu mnunue hiyo mitambo muwe mnachangia running cost za mafuta na repair
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom