Sio mchezoKwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe ๐ค
Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa.
Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie .
Kipigo cha hawa wajinga na kutochukua makombe kitadumu kwa miaka mingi .
Simba yangu nguvu moja toka 1995 nipo nanyi , nyakati zote , tujiandae kwa tabu.
Unamwelewa mohamedd lkn ๐Sio mchezo
Kila mwaka anaongea haya hayaUnamwelewa mohamedd lkn ๐
Huna msimamoWewe vipi tena uko simba ama?
Mbona hueleweki?
Mimi nimehama kwa muda kwanza nipo yanga... Mpaka simba watakapo rudi form
Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe ๐ค
Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa.
Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie .
Kipigo cha hawa wajinga na kutochukua makombe kitadumu kwa miaka mingi .
Simba yangu nguvu moja toka 1995 nipo nanyi , nyakati zote , tujiandae kwa tabu.
Sawa tupo tutaonaPengne umeangalia juu juu.
Hawa madogo waliosajiliwa kutoka ndan ya Ligi yetu wako vizur.
Nashon, Chilambo na Bakar Msimu wako vizuri sana.
muda mfupi ujao utamuona Kaletso (jezi namba 11 ). Doumbia pia tumpe muda.
Na hawa wa zaman
Aura ,Gueye, Chama, Toure, De Reuck, kagoma na Mpanzu.
Bado una wasiwasi?.
Kidogo tu!!Pengne umeangalia juu juu.
Hawa madogo waliosajiliwa kutoka ndan ya Ligi yetu wako vizur.
Nashon, Chilambo na Bakar Msimu wako vizuri sana.
muda mfupi ujao utamuona Kaletso (jezi namba 11 ). Doumbia pia tumpe muda.
Na hawa wa zaman
Aura ,Gueye, Chama, Toure, De Reuck, kagoma na Mpanzu.
Bado una wasiwasi?.
Pengne umeangalia juu juu.

Naweza kusema hii ndiyo Simba Day Bora kuwahi kutokea toka lianzishwe hili tamasha, ubunifu wa Msemaji wa Simba SC naweza kusema leo ndiyo Man of The Match, huyu ndo kaifanya Simba Day ipendeze zaidi.Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe ๐ค
Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa.
Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie .
Kipigo cha hawa wajinga na kutochukua makombe kitadumu kwa miaka mingi .
Simba yangu nguvu moja toka 1995 nipo nanyi , nyakati zote , tujiandae kwa tabu.
Simba Hii..ni nzur sana...nina matumaini kibao...
Kuna talents kama wakipata chemistry....( GUEYYE, KALETSIO, AOURA., CHAMA, MPANZU, DOUMBIA
Wanahitaji HAMASA ili wajiamini na kujitoa....
...Worry yangu ipo tu kwenye WING BACKS ... kuhimili forward janja...
Wape imani, kikosi ni kipana ila hakina usajili wa majina makubwa, wanahitaji tu kujitoa na kupigania timu, pia kina wachezaji ambao wameshakaa pamoja nusu msimu mzima uliopita. Ngoja tuone.Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe ๐ค