Hongera ,kumbe umekula chumvi ehh! utakuwa umeshaanza kupata huduma ya matibabu bure sio!🤣🤣🤣 vumilia tu Mkuu ni mwanangu wa kwanza huyo na alishapata mwenza. 🤣🤣
Hongera ,kumbe umekula chumvi ehh! utakuwa umeshaanza kupata huduma ya matibabu bure sio!🤣🤣🤣 vumilia tu Mkuu ni mwanangu wa kwanza huyo na alishapata mwenza. 🤣🤣
Ndio Mkuu.Hongera ,kumbe umekula chumvi ehh! utakuwa umeshaanza kupata huduma ya matibabu bure sio!
Kuanza kuzaliwa sio kua na akili ijue Shadeeya🤣🤣🤣Tuko mbioni hivyo tutaelewana tu huko mbeleni. Na hapo ndio tutajua nani ni wa kwanza kuliona jua.