Uchaguzi 2020 Hii teua teua ya Wakurugenzi: Je, Rais Magufuli anapanga safu ya watangaza matokeo?

Kwa kujikomba huku lazima sasa utaukwaa ukurugenzi hata wa kawe
 
Nikuulize swali moja tu Mkuu: Jecha alikuwa Kada wa ccm au la?? Sasa kwa Wakurugenzi utasemaje uwanjani kungekuwa sawa kwa wote??
 
Nikuulize swali moja tu Mkuu: Jecha alikuwa Kada wa ccm au la?? Sasa kwa Wakurugenzi utasemaje uwanjani kungekuwa sawa kwa wote??
Umeuliza swali nje ya hoja zangu, hivyo sina jibu.

Labda kwa ushauri tu, turufu waliyobaki nayo wapinzani siyo ya Tume Huru ya Uchaguzi au Wasimamizi (kwa maana ya hao Wakurugenzi) bali kwa kuwa na Sera/Mikakati bora zaidi ya maendeleo.

Lakini ninachokiona kinaendelea kutoka upinzani, siyo kwa viongozi tu hata wafuasi wao kwenye mitandao ya kijamii, ni kupinga yaliyofanywa na Serikali pasipo kutoa mbadala wake. Kwa hali hiyo upinzani hauna mlango wa kutokea hata kama wataweka mpira kwapani.

Kwa mfano, wewe kama wewe, badala ya Serikali kuimarisha sekta ya afya, hiyo fedha ingetumikaje? Kwa taarifa ni kwamba Serikali imejenga hospitali tatu ( 3 ) za Rufaa; Mikoa, kumi ( 10 ), Wilaya, sabini na moja ( 71 ); vituo vya Afya , 487; na Zahanati, 1,198 na kufanya Jumla yake kuwa 1,769.
 
Huwezi kumpumzisha Halima Mdee kizembe zembe hvyo ww...alaf ww ni nani utuongelee wana kawe?...
 
Unadhan hajui alitendalo?n wakat wa kusifu na kuabudu nw
 
What a coincidence..... Wengi wao wanastaafu this time around....!!
 
Wengi mtakubaliana na mimi figisu zikishatokea time will tell. Neglect Nothing.
 
Bahati mbaya au nzuri Mheshimiwa Rais hana kuzuizi ktk muda wa kufanya uteuzi. Hata wakati wa kampeni au hata siku ya kupiga kura akiona DED anazingua anaweza kuteua mwingine. Ndio maraka aliyopewa na katiba. Kuna haja sasa kuweka ukomo wa rais ktk uteuzi kwamba Bunge likishavunjwa RAIS HARUHUSIWI KUFANYA UTEUZI MPAKA BAADA YA UCHAGUZI.
 
Wakurugenzi bila shaka watatangaza matokeo yalioko kwenye mjumuisho wa kura zote.
Sio sawa kujadri uteuzi wa mwenye mamlaka ya kuteua kama ilivyo kwa mjibu wa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania.
 


Haya maeneo waliokuwa Wakurugenzi wametia nia za kugombea ubenge hivyo wameenda kinyume na maagizo ya Yesu wa CCM,hapo amewatupa motoni.
 

JPM hajawahi kusimama kufanya kazi yake. Nyie wajinga ndo mnapenda kuwaza ujinga.
 
Magufuli anataka 99.99%ya wabunge kutoka Bara,100% President, kama alivyopata 100%serikali za mitaa.
2021 ni mambo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…