Uchaguzi 2020 Hii teua teua ya Wakurugenzi: Je, Rais Magufuli anapanga safu ya watangaza matokeo?

Algore

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
206
250
Duh...!.
Watu kwa ku connect the dots Bwana!.
Tarehe nyingi za kustaafu rasmi ni 30th June. Hivyo wengi wamefikia muda wa kustaafu, sasa unataka rais Magufuli aogope kuteua wengine kwa sababu ni mwaka wa uchaguzi?.

Kama issue ni wapinzani kurejesha majimbo, trends zinaelekeza wapinzani wengi watarejesha majimbo for non delivery, most have done nothing!, mfano jimbo langu la Kawe, Mbunge wetu did nothing this time hivyo, wasipombadilisha, sisi wana Kawe, tunampumzisha, na ikibidi kulirejesha jimbo CCM, tunalirejesha.
P
Kwa kujikomba huku lazima sasa utaukwaa ukurugenzi hata wa kawe
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
2,529
2,000
Mna hoja hafifu sana. Wakati Wabunge wa upinzani wamekuwa wakiilaumu Serikali, kutukana viongozi wake na kususia vikao vya Bunge, wapiga kura waliona na kusikia.

Kibaya zaidi wakasusia uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambao viongozi wake watapaswa kufanya nao kazi, wakifanikiwa kuteuliwa. Ni viongozi wa Serikali za Mitaa ambao pia watasaidia kuwawekea mazingira rafiki ya Wagombea kufanya kampeni.

Hivyo upinzani umekwisha kupoteza turufu ya ushindi mapemaaaa. Niwape pole zao, japo wafuasi humu JF wanajitutumua kwa kujipa moyo wa ushindi
Nikuulize swali moja tu Mkuu: Jecha alikuwa Kada wa ccm au la?? Sasa kwa Wakurugenzi utasemaje uwanjani kungekuwa sawa kwa wote??
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
7,909
2,000
Nikuulize swali moja tu Mkuu: Jecha alikuwa Kada wa ccm au la?? Sasa kwa Wakurugenzi utasemaje uwanjani kungekuwa sawa kwa wote??
Umeuliza swali nje ya hoja zangu, hivyo sina jibu.

Labda kwa ushauri tu, turufu waliyobaki nayo wapinzani siyo ya Tume Huru ya Uchaguzi au Wasimamizi (kwa maana ya hao Wakurugenzi) bali kwa kuwa na Sera/Mikakati bora zaidi ya maendeleo.

Lakini ninachokiona kinaendelea kutoka upinzani, siyo kwa viongozi tu hata wafuasi wao kwenye mitandao ya kijamii, ni kupinga yaliyofanywa na Serikali pasipo kutoa mbadala wake. Kwa hali hiyo upinzani hauna mlango wa kutokea hata kama wataweka mpira kwapani.

Kwa mfano, wewe kama wewe, badala ya Serikali kuimarisha sekta ya afya, hiyo fedha ingetumikaje? Kwa taarifa ni kwamba Serikali imejenga hospitali tatu ( 3 ) za Rufaa; Mikoa, kumi ( 10 ), Wilaya, sabini na moja ( 71 ); vituo vya Afya , 487; na Zahanati, 1,198 na kufanya Jumla yake kuwa 1,769.
 
kantasundwa

JF-Expert Member
May 25, 2020
1,557
2,000
Duh...!.
Watu kwa ku connect the dots Bwana!.
Tarehe nyingi za kustaafu rasmi ni 30th June. Hivyo wengi wamefikia muda wa kustaafu, sasa unataka rais Magufuli aogope kuteua wengine kwa sababu ni mwaka wa uchaguzi?.

Kama issue ni wapinzani kurejesha majimbo, trends zinaelekeza wapinzani wengi watarejesha majimbo for non delivery, most have done nothing!, mfano jimbo langu la Kawe, Mbunge wetu did nothing this time hivyo, wasipombadilisha, sisi wana Kawe, tunampumzisha, na ikibidi kulirejesha jimbo CCM, tunalirejesha.
P
Huwezi kumpumzisha Halima Mdee kizembe zembe hvyo ww...alaf ww ni nani utuongelee wana kawe?...
 
Abul Aaliyah

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,250
2,000
Unadhan hajui alitendalo?n wakat wa kusifu na kuabudu nw
Hivi kweli Mkuu P,hata wewe unatoa hoja ya std 7 hv? Kwaio leo hujui kazi ya mbunge kwan mbunge kazi yake ni kujenga barabara au kuvuta maji en whatever mbunge yeye ni kuwasemea wananchi bungen angekua mdee anakusanya Kodi hapo sawa ilaumuni ccm inayokusanya Kodi zenu
 
Mr. Zero

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
12,667
2,000
Duh...!.
Watu kwa ku connect the dots Bwana!.
Tarehe nyingi za kustaafu rasmi ni 30th June. Hivyo wengi wamefikia muda wa kustaafu, sasa unataka rais Magufuli aogope kuteua wengine kwa sababu ni mwaka wa uchaguzi?.

Kama issue ni wapinzani kurejesha majimbo, trends zinaelekeza wapinzani wengi watarejesha majimbo for non delivery, most have done nothing!, mfano jimbo langu la Kawe, Mbunge wetu did nothing this time hivyo, wasipombadilisha, sisi wana Kawe, tunampumzisha, na ikibidi kulirejesha jimbo CCM, tunalirejesha.
P
What a coincidence..... Wengi wao wanastaafu this time around....!!
 
Chakulinga

Senior Member
Oct 1, 2014
100
250
Wapinzani kuweni makini na hii teua teua ya wakurugenzi wapya kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Ikumbukwe kuwa Wakurugenzi watendaji ndiyo wasimamizi wa uchaguzi kiufupi wao ndiyo watoa fomu na mwisho wa siku ndiyo watakaohusika kutangaza matokeo.

By the way, kwanini Wakurugenzi husika ni kutoka yale majimbo ambayo kuna upinzani? Mfano Wakurugenzi walioteuliwa Leo ni

Wilaya ya Mbeya kwa Joseph Mbilinyi (Sugu) pia inahudumia jimbo la Mbeya vijijini ambalo pia upinzani umekua sana hivi karibuni.

Wilaya ya Arusha kwa Godbless Lema.

Wilaya ya Same, ambako pia CHADEMA imetamalaki, Same Mashariki na Magharibi now CHADEMA ina nguvu kule.

Ifakara kwa Lijualikali

Je, siyo mkakati wa kumwandalia ushindi Lijualikali kwani ifakara ni CHADEMA tupu?

Wapinzani msiichukulie poa hii teua teua ya Wakurugenzi, hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu siyo bure, everything happens for a reason.
Bahati mbaya au nzuri Mheshimiwa Rais hana kuzuizi ktk muda wa kufanya uteuzi. Hata wakati wa kampeni au hata siku ya kupiga kura akiona DED anazingua anaweza kuteua mwingine. Ndio maraka aliyopewa na katiba. Kuna haja sasa kuweka ukomo wa rais ktk uteuzi kwamba Bunge likishavunjwa RAIS HARUHUSIWI KUFANYA UTEUZI MPAKA BAADA YA UCHAGUZI.
 
Alphonce Kagezi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
304
250
Wakurugenzi bila shaka watatangaza matokeo yalioko kwenye mjumuisho wa kura zote.
Sio sawa kujadri uteuzi wa mwenye mamlaka ya kuteua kama ilivyo kwa mjibu wa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania.
 
Kinjeketile

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
951
1,000
Wapinzani kuweni makini na hii teua teua ya wakurugenzi wapya kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Ikumbukwe kuwa Wakurugenzi watendaji ndiyo wasimamizi wa uchaguzi kiufupi wao ndiyo watoa fomu na mwisho wa siku ndiyo watakaohusika kutangaza matokeo.

By the way, kwanini Wakurugenzi husika ni kutoka yale majimbo ambayo kuna upinzani? Mfano Wakurugenzi walioteuliwa Leo ni

Wilaya ya Mbeya kwa Joseph Mbilinyi (Sugu) pia inahudumia jimbo la Mbeya vijijini ambalo pia upinzani umekua sana hivi karibuni.

Wilaya ya Arusha kwa Godbless Lema.

Wilaya ya Same, ambako pia CHADEMA imetamalaki, Same Mashariki na Magharibi now CHADEMA ina nguvu kule.

Ifakara kwa Lijualikali

Je, siyo mkakati wa kumwandalia ushindi Lijualikali kwani ifakara ni CHADEMA tupu?

Wapinzani msiichukulie poa hii teua teua ya Wakurugenzi, hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu siyo bure, everything happens for a reason.

Haya maeneo waliokuwa Wakurugenzi wametia nia za kugombea ubenge hivyo wameenda kinyume na maagizo ya Yesu wa CCM,hapo amewatupa motoni.
 
unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
2,577
2,000
Wapinzani kuweni makini na hii teua teua ya wakurugenzi wapya kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Ikumbukwe kuwa Wakurugenzi watendaji ndiyo wasimamizi wa uchaguzi kiufupi wao ndiyo watoa fomu na mwisho wa siku ndiyo watakaohusika kutangaza matokeo.

By the way, kwanini Wakurugenzi husika ni kutoka yale majimbo ambayo kuna upinzani? Mfano Wakurugenzi walioteuliwa Leo ni

Wilaya ya Mbeya kwa Joseph Mbilinyi (Sugu) pia inahudumia jimbo la Mbeya vijijini ambalo pia upinzani umekua sana hivi karibuni.

Wilaya ya Arusha kwa Godbless Lema.

Wilaya ya Same, ambako pia CHADEMA imetamalaki, Same Mashariki na Magharibi now CHADEMA ina nguvu kule.

Ifakara kwa Lijualikali

Je, siyo mkakati wa kumwandalia ushindi Lijualikali kwani ifakara ni CHADEMA tupu?

Wapinzani msiichukulie poa hii teua teua ya Wakurugenzi, hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu siyo bure, everything happens for a reason.

JPM hajawahi kusimama kufanya kazi yake. Nyie wajinga ndo mnapenda kuwaza ujinga.
 
sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
5,398
2,000
Bahati mbaya au nzuri Mheshimiwa Rais hana kuzuizi ktk muda wa kufanya uteuzi. Hata wakati wa kampeni au hata siku ya kupiga kura akiona DED anazingua anaweza kuteua mwingine. Ndio maraka aliyopewa na katiba. Kuna haja sasa kuweka ukomo wa rais ktk uteuzi kwamba Bunge likishavunjwa RAIS HARUHUSIWI KUFANYA UTEUZI MPAKA BAADA YA UCHAGUZI.
Magufuli anataka 99.99%ya wabunge kutoka Bara,100% President, kama alivyopata 100%serikali za mitaa.
2021 ni mambo mengine.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom