Hii Tanzania yetu

Hii Tanzania yetu

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957

Yaonakena ni kitu cha kawaida sasa lakini ingelikuwa kwenye nchi ambazo zilishaonja joto la vurugu kila mmoja angelikuwa ndani mwake.

Kwa mujibu wa Majid hiyo ilikuwa ni moja ya mitaa ya huko Temeke ambapo aaskari huyu alionekana kikatiza na mtutu na wala hana habari na mtu huku akicharaza story na mwenzie.

Picha hiyo ni kwa mujibu wa mdau Majid Mjengwa.
 
Mkuu hii nchi bado ni ya wachache maana hao sio kwamba wanasaidia utulivu laa hasha maana huenda hapo nyuma tu mtu kakabwa na hawatoi msaada wowote zaidi utaambiwa kuna sehemu pameibiwa akaona nae apite wajue uwepo wake
 
Tanzania nchi ya amani, kila baada ya hatua 50 lazima ukutane na SMG begani au mgongoni.

Kwenye mikutano ya hadhara SMG,

It has become a adorable toy for Mangu boys
 
Nani kasema hao ni askari?
Akikuibia huyo utasema ni askari
kweli?.Ndio maana uhalifu umeshamiri
sana.Hajulikani jambazi,mwizi wala askari.
 
Back
Top Bottom