Tamu zaidi ni ile mlango unaugesha tu- unajua...........aaah basaisee !
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]SHETANI PAA
Hahahaaa mkuu kuchepuka muhimu mwanamme huwezi kuwa na demu mmoja tu kama mama yako kuna vidude kama zamaradi viko flat lakini mziki wake muulize ruge mpaka kamasi lilimtokaChief unataka kuniambia ukikabidhiwa hiyo mali hautachepuka.
Hilo lote asee, watu wanafaidi jombaa. Tai wa purple aliyetulia atakuwa ni ndege wa ajabu sana! Dah, hadi ute ukanidondoka ghafla.Wo wo wo wo
Hahaha hamna tai ya dhambarau hapo ni pink bhna
Ng'ombe haelemewi na nundu yake weweeee!Anatembeaje mbona kama kazidiwa?
apo ndo umekula kitu cha dompo mixer konyagi na kung-fu energy ,....badamu batamwagika
[emoji35] [emoji125]Wo wo wo wo