Hii tabia ya watangazaji wa Tanzania ya kuvaa makoti ya suti na suruali za jinsi imekaaje?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Kuanzia wachambuzi wa michezo mapaka ma presenters wote ni kununua makoti na jensi akisimama inakuwa shida.

Ukiacha wale wa TBC1 ARIDHIO wengine hamna kitu sijui nani amewafundisha haka kamchezo mpaka wanawake

USSR
 
Nadhani wame copy na Ku paste France,,,ndy zao hizo,,,siku hizi huko juu ndy mambo yao
 
Mimi mwenyewe kuvaa full suti nikiwa busy siwezi so nawaunga mkono

utamu wa koti la suti ukiwa kazini likae juu ya Jeans,ila kuvaa kama bwana harusi

Full suti hiyo ni kwa siku maalum tu mzee,siwezi vaa kama Papaa halafu eti naenda Job

heshima ya suti haitaki mikiki mikiki,ukvaa tulia behave kisuti suti so hao waandsh nawapa Tick✅
 
Hapo alivua, joto lilikuwa kali,
Hebu achana na suti hilo pozi vipi?
Screenshot_20200627-211203.jpg
 
Back
Top Bottom