Hii tabia vipi wakuu wangu.....

Watu kama hawa ni malimbukeni ni upuani mtu umekaribishwa halafu unakuja na kundi la watu mimi iliwahi nitokea gf wangu aliniomba nimsaidie hea kwa ajili ya kulipia kodi ya nyumba nikamwita aje achukuea hela pale Marangu Park yeye akaja na marafiki zake watatu matokeo yake nikatumia fedha nilizo mtengea zikabaki kido na ndizo nilizo mpa kwa kumwambia ukweli kuwa kiasi kingine nimenunulia vinywaji vya rafiki zake na sinta kuwa na hela tena mpaka mwisho wa mwezi
 
Hahaha sisi wanaume bana itakuwa wewe wenyewe ndie ulianza kuleta mapozi ya kibwenyenye, Mabinti wakasema ngoja...
 
usikute pesa zenyewe ulizolipia bill ulikopa kwa ajil ya ishu nyengine kabisa..au za mchango wa watu..mtazamo tuu
 

Safi sanaaaa !!!! Sipati picha huo mtiti walio letewa na bar maid. hahaha
 
Tatizo na nyie wengine mnapenda kujifanya high class hahahahaaaa pole jamani..!
 
REJEA WIMBO WA KARA JEREMAYA.karibu dar..nanukuu"ukimuita demu wako wanakuja kruu."
 
Hivi nikikuita mjinga ntakua nimekosea?? yani watu wanakukomoa maksudi wew big boss umekaa unashindia maji dah! watoto wa mujini hawana hila, next time kimbia usisubiri kuonekana shujaa..
 
Tatizo na nyie wengine mnapenda kujifanya high class hahahahaaaa pole jamani..!

Kumuita mtu ili mfanye maongezi ni kujifanya high class?

Au ndio mnatumia fursa hizo kubugia vile ambavyo mnaviona kwenye picha za ukutani na vingine mnavisikia tu kwenye matangazo na redioni?
 
Astaghfir-llah!

 
Briefl alchokifanya huyo binti ni ushamba na ulimbukeni,sijui vitu kama hivyo yeye mwenyewe anaweza kujifuja namna hiyo,huyo ni wa kumfanyia timing unamgegeda halafu siku ya pili hata simu yake hupaswi kupokea!!
Hao ndo mabinti ambao wanalalamika kuwa hawaolewagi,yaani heat and run
 
Wenzako tunatokaga ndoki tukiona hali kama hiyo ili ajifunze siku nyingine asirudie. Unawaachia manyoya ili walipe wajifunze.
 
nami ningeita washkaji zangu wa3 tuwe pea then atakae mkataa mshkaji wake niliyemletea atajilipia bill mwenyewe alaaaa.
 
Kwani walikulazimisha kulipa bili yao?
Ingekuwa ni mimi ningelipa bili yangu tu, halafu nasepa..
 
Hivi nikikuita mjinga ntakua nimekosea?? yani watu wanakukomoa maksudi wew big boss umekaa unashindia maji dah! watoto wa mujini hawana hila, next time kimbia usisubiri kuonekana shujaa..

Dogo anaingilia fani za watu. Msamehe harudii tena. Tehe !!
 
I wish nikutane na hyo sampuli. Hakyanani watafurah.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…