Jana katika pita pita yangu mjini nikabahatika kukutana na binti mmoja, tukabadilishana namba za simu, time za jioni nikaamua kumrukia hewani tukutane town tufahamiane zaidi, akaibuka na rafiki zake wawili, ikawa timu ya watu watatu, tumekaa kunywa mabinti wale wakaanza kuagiza vinywaji vya bei kubwa kubwa, mwenyewe nikaagiza maji tu, wanywaji mnajua kuna kakinywaji nikawa nasikia nipimie nzima, hapo Tsh 12,000 cash, mwingine nipatie henken. Kana kwamba hiyo haitoshi ulipofika wakati wa msosi, mwanamke anaagiza mnavu kuku mzima peke yake, huku kichwa kinaniuma nawaza kumbe wanawake wa mujini ndo wana matumbo makubwa hivi, kumbe ndiyo maana wanawake wengi sasa hivi wana vitambi. Pigo la mwisho ni wakati wa kuondoka, wanaagiza vinywaji na chakula cha take away, kidogo niumbuke ila uzuri bar ile wanapokea hela kwa tigo pesa, nimeondoka pale sina hamu, nimeinamisha kichwa na wala sina hamu tena na mwanamke yule. Hii tabia unapopewa offer ndo unaagiza kinywaji cha bei mbaya, mtu kila siku anakunywa fanta, siku hiyo anataka redbull, vipi wakuu wangu?
pole sana...next time hiyo ofa muite wakati wewe upo room(faragha) tayari ili akimaliza huyo kuku mzima na redbull zake na madikodiko yote atakayoagiza akidhani anakukomoa, basi nawe unaondoa hasira zako kwa kumgegeda.....hahahahahaha just joking jamani........!!!!!!!! lol!!!
walikuja kuku thaminisha...next time atakuja mwenyewe endapo wali alokuwa nao wamekufagilia ila ka wamekuponda utaambulia manyoya
.....ungechomoka kimya kimya bana,,,akikupigia unampa live.....pesa ngumu kaka....ila kama ulishaliwa kazana na wewe umle,,, then mwaga kule....
We ungekula barafu mwisho wa siku kila mtu anapewa bill yake walipe wenyewe.....wewe unge gharamia bill ya huyo dada ulie kua na date nae baaas. Tatzo watu wengi wanaona soo kuwachana hawa wanawake live. Ila all in all kuna wanawake wana tabia za uchwara sana, sijui ni malezi au kitu gan. Unakuta jinsi alivyo vaa na appearence yake ukilinganisha na tabia na mambo yake haviendani kabisa. Na kwa mwendo huo watangoja sana kuolewa....kuna mmoja alikua kila akiniona ananiomba hela au anataka nimnunulie vitu ukicheck sina hata mazoea nae wala sina hata mpango wa kua nae yet analeta tabia zake za chooni...jibu nililo mpa nahisi kidogo angeenda kujinyonga siku hiyo na nili mchana in public. Aliona nimem dharau kwa kimo cha juu sana. Since then hana hata hamu ya kuongea na mm.
Mtu umekua invited ww, inakuaje unaenda kuleta kundi la watu ?? Ndio maana kila siku watu wanapigiwa kelele umuhimu wa shule. Ndio yale mambo ya card moja ya harusi wanaenda nyumba nzima. Mwisho wa siku ni aibu kwenye entrance ya ukumbi.
sidhani kama ningeeleweka na uongozi wa bar maana mimi ndo niliwapeleka pale, nimejifunza.
kumbe ndo wanavyofanya, sikujua!