Hii tabia nitaachaje naona kama nawaumiza watu wanaonizunguka...

Nilikuwa ni mtu wa kucheka na kufurahi na wezangu ila wiki lililopita nikajikuta spendi kucheka wala kufurahi tena wala sikuhitaji mtu aniongeleshe zaidi ya kuwa busy na mambo yangu naishi kwenye mkusanyiko wa watu means nipo shule yani hili wiki ni la kutopenda disturbance yoyote na sijui lini ntarudi kama awali nimejikuta spendi kuongea ongea na mtu tena naona kama wanajisikia vibaya na kuisi kama kuna kitu wamefanya juu yangu lakini hamna kitu ni Mimi tu nimeamua kukaa kimya shida tunalala room moja nawapa shida sana na ninajikuta kutoweza jilazimisha kuongea ongea ata mtu akianzisha kitu namsikiliza tu ata simsapot badae ataamua tu kukaa kimya
Tafuta Bwana akutoe stress
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom