Yaaani mbavu sina,unajuwa JF ni more than nothing,haya mambo mie yameshanitokea sana na nikafikiri kuwa ni wa kwangu tu ndio yuko hivyo,nimeshamuacha mara kibao lakini hakomi,mwishowe nimeamua ninyamaze tu maana mpaka saa nyingine namuonea huruma,akishasikia nimewasha gari anajua ntamuacha tu hivyo kidogo inamfanya awahishe kujipodoa,sasa hivi nimeamua awe anaanza yeye kuoga halafu baada ya dakika kama 10 ndio na mimi naingia bafuni ili angalau inapofikia muda wa kutoka tutoe droo.Anyways leo ni me-proove kuwa ni tabia yao kwani inanikumbusha hata mama yangu naye alikuwa anazozana sana na mzee wangu kwa jambo hili.God create dem women we must treat dem tenderly and i do adore my wife so dearly n won't treat her harsh anymore.
kwenda zako wewe ugoigoi anao huyo wako ,ugoigoi unahusikaje hapa un atokwa maneno tuuuu bangi za mchana bwana ,milioni na laki ipi kubwaaaa.............GF wangu ananijua vyema kwani nimeweka kuwa ni utaratibu kama anachelewa kwa sababu za kike kike ananikuta nimeshaenda zangu.
Baada ya kumuacha mara kadhaa, sasa ananijua. Nikimwambia nampitia nikifika huwa ameshajiandaa. Mambo haya ukimzoesha mwanamke ipo siku utapoteza dili la milions sababu ya ufukunyuku wa wife. Mzoeshe kuwa strict kwenye ratiba otherwise atakufundishia ugoigoi watoto wako.
Huu mpango wa mwanamke akili zake slow wala sio mpango. Mfundishe kwa vitendo madhara ya kuwa goigoi
Sisi tunatumia gari moja namshusha ofisini kwake na jioni nampitia tunarudi.. sasa asubui toka tunaamka mpaka tuaondoka yeye ni kutoa maagizo tu..... sasa kali zaidi wakati ndo tunatoka ndani kuelekea parking..Men, it takes another 5 to 10 mnts mpaka afike. Anaanza upya, - mmenielewa?...usahau.... watoto muhakikishe.....usafi ...
Sasa na wakati wa kumpitia jioni kurudi nyumbani nampigia simu namwambia baada ya nusu saa nitakua hapo.. yaani nikifika it will take another 15 mnts atoke huko ofisini.. ukimuuliza eti nilikua nazima computer.... mwanzoni ilinipa shida sana ila imebidi nizoee tu... kama nawai mahali lazima nianze kuondoka 1hr before.
But ilove her to death.
Huyo mwanamke ana dharau za hali ya juu. Hajui kuheshimu muda wala kumheshimu mumewe. She is "self centered".
Hehehehe... mkuu unatisha.. yaani mimi nikijaribu ndani ya nusu saa simu ya mama angu inaingia. Na nitapata semina kila siku si chini ya mwezi mmoja..aisee Du!
Sisi tunatumia gari moja namshusha ofisini kwake na jioni nampitia tunarudi.. sasa asubui toka tunaamka mpaka tuaondoka yeye ni kutoa maagizo tu..... sasa kali zaidi wakati ndo tunatoka ndani kuelekea parking..Men, it takes another 5 to 10 mnts mpaka afike. Anaanza upya, - mmenielewa?...usahau.... watoto muhakikishe.....usafi ...
Sasa na wakati wa kumpitia jioni kurudi nyumbani nampigia simu namwambia baada ya nusu saa nitakua hapo.. yaani nikifika it will take another 15 mnts atoke huko ofisini.. ukimuuliza eti nilikua nazima computer.... mwanzoni ilinipa shida sana ila imebidi nizoee tu... kama nawai mahali lazima nianze kuondoka 1hr before.
But ilove her to death.
Ndivyo walivyo. Mimi wa kwangu nilimpa funzo mara mbili na alishabadilika. Siku ya kwanza chakula kilichelewa kwa kujizungushazungusha na wasaidizi wake, nikawasha gari nikaenda kula nyama choma. Siku nyingine akachelewa kujiandaa kwenda kazini na kutoa maelekezo ambayo mengine yangetolewa jioni, nikawasha gari nikaondoka na nikapita ofisini kwao na kugeuza gari na kwenda ofisini kwangu. Niliporudi jioni nikaja na kilo ya kitimoto ikiwa imesheheni chilli, tomato sause na kachumbali, kicheko juu. Hadi leo ana panctuality ya hali ya juu
ONYO
Tafadhali usiige mbinu hii maana kwa wanawake wengine hii inaweza kuleta mgogoro mkubwa sana
uwiiiiiiiiiiiii kama ni hivyo, bora tu kumsubiri, simu mwezi! u have made me to laugh out loud! lol!Hehehehe... mkuu unatisha.. yaani mimi nikijaribu ndani ya nusu saa simu ya mama angu inaingia. Na nitapata semina kila siku si chini ya mwezi mmoja..aisee Du!
nivea mi-like ya kutosha hiyooooo, tena wanaume wa hivi anaongea hapa tu, mbele ya mkewe thubutu!kwenda zako wewe ugoigoi anao huyo wako ,ugoigoi unahusikaje hapa un atokwa maneno tuuuu bangi za mchana bwana ,milioni na laki ipi kubwaaaa.............
hili tatizo lipo hasa kwa wanawake wanaojiona wanakipato KIKUBWA kuliko waume zao.sisi tunatumia gari moja namshusha ofisini kwake na jioni nampitia tunarudi.. Sasa asubui toka tunaamka mpaka tuaondoka yeye ni kutoa maagizo tu..... Sasa kali zaidi wakati ndo tunatoka ndani kuelekea parking..men, it takes another 5 to 10 mnts mpaka afike. Anaanza upya, - mmenielewa?...usahau.... Watoto muhakikishe.....usafi ...
Sasa na wakati wa kumpitia jioni kurudi nyumbani nampigia simu namwambia baada ya nusu saa nitakua hapo.. Yaani nikifika it will take another 15 mnts atoke huko ofisini.. Ukimuuliza eti nilikua nazima computer.... Mwanzoni ilinipa shida sana ila imebidi nizoee tu... Kama nawai mahali lazima nianze kuondoka 1hr before.
But ilove her to death.
ni kweli tatizo hilo lipo sana kwa wanawake,lakini mara nyingi nimeobserve nikaona mama anaamka ahakikishe kila kitu kipo sawa nyumbani ndipo atoke wakati mwanaume anajiandaa na mara nyingi anaweza kunywa chai wakati mke wake hapati huo muda.atatoka nje honi kwa wingi.saidia majukumu mnapoamka itapunguza kuchelewa.pendeni wake zenu
shoste kama ni mfanyakazi uchumi ukikukalia vizuri nawe unanunua hata nissan march ili uwe na amani hata kwenda sokoni kununua vitu vya wiki inakuwa soo
Inaelekea ujaoa wewe