School face
JF-Expert Member
- Sep 12, 2019
- 247
- 412
Ndio hapo hapo amepaongelea mleta mada, kuna mmoja alikuja na glasi kuniomba nimpunguzie K Vant ambayo mi nilikuwa napiga tarumbeta, ikabidi nimnunulie.......basi alihangaika ukumbi mzima kunitafutia mtoto mkali wa kwenda kumgegedaHivi musoma pale pana ukumbi gani wa starehe zaidi ya pale gorofani?
Haha Haha, nimeenda mara kadhaa pale nikiwa musoma ila sijawahi katana na iyo adha. Au labda kwakuwa mm nasimamaga kaunta tuu.Ndio hapo hapo amepaongelea mleta mada, kuna mmoja alikuja na glasi kuniomba nimpunguzie K Vant ambayo mi nilikuwa napiga tarumbeta, ikabidi nimnunulie.......basi alihangaika ukumbi mzima kunitafutia mtoto mkali wa kwenda kumgegeda
Kama bado ni muendaji basi utakutana nayo tu, vijana wa pale kama makuwadi/madalali kwa mademu ukimnunulia kinywaji tu anakuletea demu yyte utakaemuhitaji.Haha Haha, nimeenda mara kadhaa pale nikiwa musoma ila sijawahi katana na iyo adha. Au labda kwakuwa mm nasimamaga kaunta tuu.
Mpaka nimekuita hopeless nimemaanisha kuwa nimekuheshimu sana Ndugu au?Heshima ni kitu cha bure Mkuu
Tanga, Moro, Dar, Mbeya na Mwanza sijaiona hii tabia.Attention seekers mna shida sana....
Ni nchi nzima ya Tanzania ipo hivyo sababu ya umasikini uliotopea...hii kujifaragua ni Musoma tu ni namna fulani ku-undermine eneo na watu wake
Nchi nzima ni ombaomba...usibague!
Acha ujinga wewe. Eti nchi nzima ya Tanzania ndo ilivyo!! Wewe unaendaga sehem za starehe kweli?Attention seekers mna shida sana....
Ni nchi nzima ya Tanzania ipo hivyo sababu ya umasikini uliotopea...hii kujifaragua ni Musoma tu ni namna fulani ku-undermine eneo na watu wake
Nchi nzima ni ombaomba...usibague!
Mpuuz tu uyp achana nae !!Acha kuandika kwa dharau Mkuu. Siku hizi vijana kuwajibu watu hivi naona mmeona fashion.
huyo ni mkenya...hayupo hata bongo anapasikiaga tu mtandaoniAcha ujinga wewe. Eri nchi nzima ya Tanzania ndo ilivyo!! Wewe unaendaga sehem za starehe kweli?
Yaani uende club ukasumbue kuomba kmba plmbe wanaume wenzako etu ndo utanzania ulivyo?? Acha wanaokosea wakosolewe, shwaini.[emoji41][emoji41]