Hii tabia mnaichukuliaje?

Hii tabia mnaichukuliaje?

Pole sana aisee,, me sioni kama kuna shida mtu ukishashiba ukiulizwa umekula si unajibu nimekula,,, na kama hujala si umwambie tu sijala au sina hela ya kula😃😃😃 ili akupe, me naona ndo ulichokimaanisha hapa😶😶
Mm kama nimekutongoza, hatujasex, hlf ukaniambia huna hela ya kula, aidha nakwambia pole au uhusiano unaishia hapo Leejay49
 
Hello ndugu zanguni

Jamani nyie upande wa pili Kaka zetu inakuwaje kuwaje umemtongoza mwanamke ila baadae mnakuja kuwa marafiki na huo mtongozo wako ukawa unahang tu ila marafiki wa karibu kiasi chake.

Swali ni inakuwaje kila asubuhi, mchana au jioni (usiku)mtu anakuuliza umekula nini As if amekupa hela ya kula [emoji848][emoji848] ebooh hasa nyie jinsia ya kiume. Aiseeh mnaboa kinoma

Yaani inaweza kuingia meseji unajua ya hela nini unakuta mtu anakuuliza Umekula nini unajitahidi kupotezea story nyingine bado amekomaa na ishu ya umekula nini[emoji2][emoji2][emoji2].

Eti jinsia Ke wenzangu hii tabia mnaionaje au nyie mnaifurahia! Hii ni kero kubwa sana kama haujamtumia hela ya msosi tafadhali usijaribu kuuliza habari hizo eboo..

Swt Manka nimekaa hapa nawasubiria wale wenye mapovu[emoji23]yao
Hello Sweetie, umekula?😘
 
Owaneni, uasherati na uzinzi ni uchafu.
 
Back
Top Bottom