Hii tabia mnaichukuliaje?

Hii tabia mnaichukuliaje?

Hello ndugu zanguni

Jamani nyie upande wa pili Kaka zetu inakuwaje kuwaje unamuuliza mwanamke ambae sio mtu mpenzio kila siku iwe asubuhi, mchana au jioni (usiku)mtu anakuuliza umekula nini As if amekupa hela ya kula [emoji848][emoji848] ebooh hasa nyie jinsia ya kiume. Aiseeh mnaboa kinoma

Yaani inaweza kuingia meseji unadhani labda muamala kumbe umtu anakuuliza Umekula nini[emoji2][emoji2] unajitahidi kupotezea story nyingine bado amekomaa na ishu ya umekula nini[emoji2][emoji2][emoji2].

Eti jinsia Ke wenzangu hii tabia mnaionaje au nyie mnaifurahia! Hii ni kero kubwa sana kama haujamtumia hela ya msosi tafadhali usijaribu kuuliza habari hizo eboo..

Swt Manka nimekaa hapa nasubiria wale wenye mapovu yao [emoji23]yao
Mwambie sitaki meseji za kula kula simple
 
Kusema kweli mim upuuzi wa kuchat chat sipendi.
 
1) Unafanya nini now? - wakati anajua nachat naye wakati huo

2) umekula? - mimi ni binadamu swala la kula ni lazima.

3) nimekumiss?- nikitaka tuonane hutaki
4) niambie?- wakati wewe ndo ulianza kunicheki

hivi vimaswali huwa vinanikeraga sana😂😂😂..

bad enough- hutawahi kukutana na mwanamke wa kitanzania asikuulize hivo viswali.
 
Hello ndugu zanguni

Jamani nyie upande wa pili Kaka zetu inakuwaje kuwaje unamuuliza mwanamke ambae sio mtu mpenzio kila siku iwe asubuhi, mchana au jioni (usiku)mtu anakuuliza umekula nini As if amekupa hela ya kula [emoji848][emoji848] ebooh hasa nyie jinsia ya kiume. Aiseeh mnaboa kinoma

Yaani inaweza kuingia meseji unadhani labda muamala kumbe umtu anakuuliza Umekula nini[emoji2][emoji2] unajitahidi kupotezea story nyingine bado amekomaa na ishu ya umekula nini[emoji2][emoji2][emoji2].

Eti jinsia Ke wenzangu hii tabia mnaionaje au nyie mnaifurahia! Hii ni kero kubwa sana kama haujamtumia hela ya msosi tafadhali usijaribu kuuliza habari hizo eboo..

Swt Manka nimekaa hapa nasubiria wale wenye mapovu yao [emoji23]yao
Mkiendeza pesa mtapigwa miti mpaka mnyooke na heart broken za kutosha pisi zinaonaga utelezi ni kitu precious sana
 
Back
Top Bottom