Hii tabia kitaalamu tunaiitaje?

Hii tabia kitaalamu tunaiitaje?

Chibike

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
4,897
Reaction score
7,525
Nacheka kwa uchungu

Embu wanaume tuongee hapa, una kitu umekiona umekitaman na unaona kabisa kitakufaa ama kitaifaa familia yako, na zaidi una shida nacho sana na pengine unamudu garama kabisa kukipata

Ila unamshirikisha mkeo/mwanamke wako /songea tuishi wote, anakataa, na wewe unakubali unaachana nacho😂 hata kurudi kwa muuzaji unaona aibu. 🚮

Hivi tuko timamu kweli? Hii tunaiitaje ? Poleni sana Wana wapambanaji ambao mlishakosaga 10% biashara ilvyoshirikishwa "mke" 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom