Hii tabia katundisha nani?

SPANISH CP

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
465
0
Nimesoma vitabu vya dini za Uislam na Ukristo sijaona sehemu inayoelekeza tujenge vituo vya kulea watoto yatima,bali tunaelekezwa namna ambavyo tunaweza kuwalea mayatima ktk majumba yetu na kuwapa malezi bora,kuwapenda,kuwajali,tusiwadhulumu,kuwaweka ktk mazingira mazuri ili waweze kuondokewa na huzuni ya kufiwa na wazazi wao.
Hii ya kujenga vituo na kuwarundika huko na kuwapelekea misaada Christmas mpaka Christmas,Iddi mpaka Iddi tumefundishwa na nani?

Tuache ubinafsi na kujifanya tunamjua sana Mungu wakati kuna watoto wanahitaji malezi toka kwetu lakini tunajifanya hatuwaoni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom