Hii tabia inanikera sana

Hii tabia inanikera sana

Tyrex

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
2,422
Reaction score
5,228
Habari ndugu zangu, kuna Hii tabia Yani unakuta mtu yuko kmya either mpenzi au rafiki ila siku ukimtafuta tu Kosa hapo hapo anakuomba hela Yani Cjui Hii imekaaje sasa unajiuliza usingemtafuta ingekuaje ? Ebu tuwatafakari watu Kama hawa

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
 
Angekupigia akukope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si mambo ya kawaida tuh hayo!saidia unapoweza,kama hauwezi unamwambia tuh!
 
Hii kwa kweli ni tabia mbaya kupitiliza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndugu zangu, kuna Hii tabia Yani unakuta mtu yuko kmya either mpenzi au rafiki ila siku ukimtafuta tu Kosa hapo hapo anakuomba hela Yani Cjui Hii imekaaje sasa unajiuliza usingemtafuta ingekuaje ? Ebu tuwatafakari watu Kama hawa

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
Pole sana. Amekufanya wewe kuwa ATM
 
Mapenzi ya kutegeana hayo nani aanze ila mbaya huyo anaesubiria aanzwe halafu hapo hapo anaomba hela lol
 
Sasa si mambo ya kawaida tuh hayo!saidia unapoweza,kama hauwezi unamwambia tuh!
Ttzo sio kwamba hauwez kusaidia ttzo ni kwamba mnapotezana maybe 1 month cku unayomtext kwamfano akishajib text inayofata anaomba hela hio ni ttzo

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
 
mi wa hvo napigaga chini tu.......sna mda...........
 
hamna mapenz hapo mana ukiacha kumpigia at a acha kukuomba na ukikaa kimya atakaa kimya ss n bora kuamua tuu 1.

May b ka n mchepuko sawa BT mtu wa future afu anafanya hvyo n bora ukimbie mana atakuumiza San badae.

huyo ana mtu wake ambae amwombi hela ss ww anakukomoa ili umwache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Nina shida namuomba Smart911 vizuri tu..

Sema huyo wa kuwa kimya ukimtafuta ndo mizinga anakua hakuzimii kiviile so anaamu kukufukuza Kiaina

Mahondaw wa Smart911
 
Habari ndugu zangu, kuna Hii tabia Yani unakuta mtu yuko kmya either mpenzi au rafiki ila siku ukimtafuta tu Kosa hapo hapo anakuomba hela Yani Cjui Hii imekaaje sasa unajiuliza usingemtafuta ingekuaje ? Ebu tuwatafakari watu Kama hawa

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
Me huwa namjibu simple tu ''Tatizo huwezi kula na kipofu''
 
Jamani kutoa si hiyari yako kama hutaki unasema sina,familia zetu baadhi maisha sio mazuri sana ukiona huyu kweli anahitaji kama unayo mpe,kuna wale wanaoomba kujaza mfuko wale apana ila mtu unajua hana au shida yake anataka dawa unampa,au chakula mpe mkuu mwenyezi mungu atakulipa zaidi ya ulicho toa..
 
Back
Top Bottom