Hii tabia inakera sana!!

Hii tabia inakera sana!!

Gharama zote za nini mkuu, kwanza ndio atakuona unachepuka, pia na hiyo ataikagua tu wakati upo usingizini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Me moja hua ina kaa ndani gari nikifika home nai acha kwenye dash board naingia ndani msafi kma WCB
 
Me moja hua ina kaa ndani gari nikifika home nai acha kwenye dash board naingia ndani msafi kma WCB
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mkuu wee sugu.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mkuu wee sugu.
591986fb7e2d8fd50a7046ddf230072f.jpg
Stress za mapenzi, zinamfanya mtu upagawe, au utakuta msiba ambao haukuhusu, uanze kulia na wewe, kumaliza hasira zako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Soma vizuri message uielewe mkuu, nimesema kila mmoja ana simu yake, yeye anaichambua simu yangu kama karanga, wakati wa usiku mie nikiwa nimelala, mimi mbona yake siikagui na sina muda nayo NB: simu hizi zishavunja ndoa nyingi, ukitaka kuzifuatilia kama, mko mke na mume, ndani ya nyumba.
Kama anaichambua simu yako mkuu muache aendelee tena mpe na ungo apepete kabisa!!
 
Pole
Mkanye wa ubavu wako, hiyo tabia ni mbaya sana. Ni zaidi ya kujichungulia mwenyewe
 
Hahah! Jamaa umenichekesha yani unaongea as if muhusika yupo hapa.loh! Btw Ukiona mwenzio anakufanyia hivyo jua uaminifu kwenu ni 6.01%
 
Mtu umelala usingizi fofofo, mwenzio awe mke/mume, anavizia simu yako anaanza kuichambua kama karanga, kwenye photo gallery, whatsapp, kwenye sms, unaamka asubuhi, gubu ugomvi maswali na majibu shortcut, hadi amani ndani ya moyo na rohoni hutoweka....Mie sipendi sipendi tena, sipendi tabia hii ife kabisa, ya kupeana stress, kila mtu na simu yake. Mie mbona yako siichunguzi, matatizo mengine ya kujitafutia bure, mie nimezowea amani sipendi maudhi na karahaa kiukweli leo nasema!!
Ni ujinga, ubwege na uzembe kutoweka password kwenye simu uliyoisajili kwa jina lako....
 
Kama ni picha kweye gallery hatokuta Kwa sabab naziweka kwene Calculator plus..yani palee akiona ni calculator na inafanya kazi kabisa ilaa kwne zile namba nkiandika password yangu kisha alama % inafunguka hidden gallery.

Kuhusu msj natumia PSB ambayo ina option ya kuficha msj za private contact. kuzifungua mpaka kwene dialer naweka pwd kisha nakua kama napga,huko unakuta msj kbaoo.

Whatsapp natumia GBwhatsapp ambayo ina option ya kuhide chats nsizotaka zionekane, akifungua tsap yangu atakuta chats za kawaida tuu, Ila kuna sehm ukitouch itahtaj pattern then hizo chats zinakuja.

NB: sijaoa badooo
Siku ukioa ndio itakuwaje sasa kama sasa hivi tu unaishi hivi?
 
Mtu umelala usingizi fofofo, mwenzio awe mke/mume, anavizia simu yako anaanza kuichambua kama karanga, kwenye photo gallery, whatsapp, kwenye sms, unaamka asubuhi, gubu ugomvi maswali na majibu shortcut, hadi amani ndani ya moyo na rohoni hutoweka....Mie sipendi sipendi tena, sipendi tabia hii ife kabisa, ya kupeana stress, kila mtu na simu yake. Mie mbona yako siichunguzi, matatizo mengine ya kujitafutia bure, mie nimezowea amani sipendi maudhi na karahaa kiukweli leo nasema!!
Sasa si umwambie ukweli kua upendi simu yako kupekuliwa. Naamin ataacha
 
Halafu kimtu kimekupekua cm, kakuta mesej nzuriii za kumbembeleza yeye hajawai tuma kama izo, anajibu matusi we kesho unarudi kwa mchepuko unanuniwa hupewi papuchi narudi hom nimenuna sitoi kamusoko nalala na jinzi kudadekiiii

Mi waifu aliiba sim akamtongoza mfanyakaz mwenzangu akijifanya ni mim, asubui naingia ofsini nkaitishwa kikao nilikasirika nkaapa nkirudi hom naenda kumkata m2 masikio bahati yake yule staf memba alikuwa mwelewa akamstua waifu atoke hom, nilivorud ckumkuta jioni yule staff memba kaja kumuombea msamaha yaaani cku ningemtafuna mw masikio
 
Back
Top Bottom