Hii tabia inakera sana!!

Hii tabia inakera sana!!

Mkuu umgempa kelebu moja matata mixer mateke ya shingo na mbavu uwe unaweka pass word mkuu ila kipigo hakifundishi ni usugu waongezeka
Yote ya nini hayo mkuu, unaweza kuua, na wewe ufie gerezani, una achana nae tu kama kazidisha kero, unatafuta jiko lingine unaweka ndani.
 
umeshamwambia au unatufurahisha uku
Nimemsema sio kumwambia, na akanuna hamna papuchi wala nini wiki nzima, na kula nilisusa nyumbani, utapata raha gani ya kula, wakati mwenzio kakununia.
 
miliki Simu mbili mkuu moja public moja private , ukifika home private piga chini. Simple as ABC
 
Sasa anakasirika nini akishashika simu.

ukiwa na mchepuko usimpe namba ya simu unakutana nao tu physically... kusema hivi haina maana ninao.
Hila tu mkuu, mwenye hila yake haachi.
 
Mtu umelala usingizi fofofo, mwenzio awe mke/mume, anavizia simu yako anaanza kuichambua kama karanga, kwenye photo gallery, whatsapp, kwenye sms, unaamka asubuhi, gubu ugomvi maswali na majibu shortcut, hadi amani ndani ya moyo na rohoni hutoweka....Mie sipendi sipendi tena, sipendi tabia hii ife kabisa, ya kupeana stress, kila mtu na simu yake. Mie mbona yako siichunguzi, matatizo mengine ya kujitafutia bure, mie nimezowea amani sipendi maudhi na karahaa kiukweli leo nasema!!
NAOMBA TUIKEMEE KWA PAMOJA.
 
miliki Simu mbili mkuu moja public moja private , ukifika home private piga chini. Simple as ABC
Gharama zote za nini mkuu, kwanza ndio atakuona unachepuka, pia na hiyo ataikagua tu wakati upo usingizini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom