Hii tabia akina dada mnaipenda sana

Hii tabia akina dada mnaipenda sana

Mie huwa nakabiziwa wallet nijichukulie kulingana na mahitaji yangu.....:banghead:
 
Kwao kawaida sn ndio maana mi nadili na miji mama ya kunikatia mkwanja
 
lazma uchungulie ili ujue uendelee kubaki ama uchape lapa kabla haujaachiwa bili yote mwenyewe....
 
Back
Top Bottom