Uganda hiyo.....na huyo ni askari wa kike. Huo uzalilishaji.....picha inaonyesha anawashika hadi sehemu nyeti kabisa. Lakini jamii imeshatengeneza "namna" inaonekana sawa tu na anayejaribu kukosoa ataonekana jeuri, hataki kufuata sheria nk. Looh huyo dada mweusi picha ya mwisho chini inaonyesha anajiuliza "hii sawa kweli?" Noma sana haya mambo....it's time for us to make some changes. Let's change the way we treat each other, let's change the way live..... Mimi nakwambia unayo MORAL AUTHORITY kupinga/kuvunja sheria batili....Kila mtu anapaswa kuheshimiwa na kuwa HURU.