Ukishapata kiwanja umeshapata password. Ukiwa unaishi hapo hapo Ina accelerate speed. Unaweza kuacha kunywa bia kwa uchungu.Maisha ya namna hiyo tunaishi wengi. Ni magumu lakini ni changamoto ya muda kitambo kidogo.
Baada ya muda mambo huwa sawa zaidi ya sana.
Hiz habar za kujenga nyumba ndog kwanza halaf et tutajenga kubwa baadae mimi nilishayakataa, unajenga kijumba cha kisela af matokea yke unajikuta unazeekea humo. Kwanini usijipe muda tu ukiinuka unainuka mzima mzima?Anajenga banda la kuku sehemu ambayo nyumba kubwa itasimama mambo yakiwa sawa.
Tunapofeli mtihani wa maisha ni kukopiana wakati kila mtu anazaliwa na swali lake.Hiz habar za kujenga nyumba ndog kwanza halaf et tutajenga kubwa baadae mimi nilishayakataa. Unajenga kijumba cha kisela af matokea yke unajikuta unazeekea humo. Kwanin usijipe muda tu ukiinuka unainuka mzima mzima?
Hahahhaaa...Ukishapata kiwanja umeshapata password. Ukiwa unaishi hapo hapo Ina accelerate speed. Unaweza kuacha kunywa bia kwa uchungu.
Ni kweli.. bora uhai...Tunapo feli mtihani wa maisha ni kukopiana wakati kila mtu anazaliwa na swali lake.
True... ila hiyo 350 ni normal tu kwa wengi... kijiwen nina bwana mdogo mmoja 26 years tunapiga kazi yy analipa 900k.Mawazo yako haya hutakaa mshawishi...atakupiga makofi 😂Mtu mwenye uwezo wa kulipa kodi ya nyumba laki 3 na nusu kwa mwezi uchumi wake ni mzuri asee ningekuwa mimi nahamishia maisha pembezoni mwa mji ambako maisha ni nafuu ndani ya miaka 5 ntakuwa nshajenga.
Japo kupanga ni kuchagua.
Shida ya Watanzania tunachukulia kawaida umaskiniKupata kiwanja cha kujenga nyumba hasa katika prime area ni changamoto kubwa kwa sisi tunao safiri kuelekea uchumi wa kati. Unakuta pango la mwezi unapokaa ni 350, 000, ukipiga hesabu kwa miaka miwili unaona ni kheri ujenge ya kwako.
Nyumba zipo za 25m unaifanyia finishing kiasi unajngia, sema wengi wanagaka kiwanja Mbezi Bunju n.k ambapo ni ghali sana.Hivi kiwanja milioni 20,mkopo million 20, banda la kuku na kuku wake 2 million. Jumla napata kama milioni 42 hivi.
Waliojenga maporini ndo wapo mjini sasa. Kuna ndugu yangu mwaka 2007 alienda kujenga chanika porini tena alipata kiwanja 45*90 kwa 900,000tulimcheka sana. Sasa yupo mjini ana nyumba na frem za maduka.True... ila hiyo 350 ni normal tu kwa wengi... kijiwen nina bwana mdogo mmoja 26 years tunapiga kazi yy analipa 900k.Mawazo yako haya hutakaa mshawishi...atakupiga makofi 😂
Haya mawazo yako ndio watu huwa mwishoe hawajengi kabisa.Hiz habar za kujenga nyumba ndog kwanza halaf et tutajenga kubwa baadae mimi nilishayakataa. Unajenga kijumba cha kisela af matokea yke unajikuta unazeekea humo...kwanin usijipe muda tu ukiinuka unainuka mzima mzima?
Waliojenga porini wapo mjini sasa. Fikiria by 2009 yaoiyokua mapori sasa ni mjini kabisa eg Kinyerezi na Kifuru.Mtu mwenye uwezo wa kulipa kodi ya nyumba laki 3 na nusu kwa mwezi uchumi wake ni mzuri asee ningekuwa mimi nahamishia maisha pembezoni mwa mji ambako maisha ni nafuu ndani ya miaka 5 ntakuwa nshajenga.
Japo kupanga ni kuchagua.
Sasa rafik tunafanyaje?Waliojenga maporini ndo wapo mjini sasa. Kuna ndugu yangu mwaka 2007 alienda kujenga chanika porini tena alipata kiwanja 45*90 kwa 900,000tulimcheka sana. Sasa yupo mjini ana nyumba na frem za maduka.
Sisi bado tunakomaa na tunataka viwanja vya mil 15 tena kwa mkopo
Fainali uzeeni.