NAMNA WAZAZI WA NAVYOONGEA NA MABINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI!
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!
Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?
Miaka 26: Wenzio wanaolewa.
Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha kuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!
Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kule anaombea unaweza kupata mchumba
Miaka 36: At least pata mtoto mmoja.
Miaka 39: We will take care of all the wedding
bills...yeyote ni sawa.
Miaka 45: hivi kweli nani alikuroga.?
Kweli au Si Kweli?
Hivi hawa jamaa wamepeleka wapi kitufe cha like????au macho yangu hayaoni vizuri
niliwahi sikia wamekihamishia kwenye jf app
niliwahi sikia wamekihamishia kwenye jf app
There are some elements of Truth in this topic.
Ila AGE ain't a thing kama mtu ukimpenda kwa dhati, wanaolewa tu bhana. Mfano mbona mimi nataka kumuoa cute b japo kanizidi miaka 7 na anaanza kuonekana kuzeeka. Naujua utamu wake. Teh
Wew umelogwa... sasa ndio nini kunitangaza huku. Ha ha ha