Hii staili tuiteje…!?

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Mtoto akibebwa kwa kutumia mgongo twasema kabebwa mgongoni na hii je……?
 

Attachments

  • 1425147527911.jpg
    22.5 KB · Views: 1,252
Kabebwa kwa kuchomekewa kwenye bukta (kabukitishwa)
 
yani mwanangu ndio umbebe hivyo jaman
 
Mtoto akibebwa kwa kutumia mgongo twasema kabebwa mgongoni na hii je……?

Hiyo ni 'child abuse', na wala huyo jamaa hatakiwi kulea huyo mtoto, mtoto apelekwe ustawi wa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…