Hii soda tuipe jina gani?

Hii soda tuipe jina gani?

Duh chupa imetumika weeeeee hadi maandishu mchoko, aibu kwa coca-cola kwa kweli.
 
Kisoda fanta, chupa Coka Cola.

Nimeipenda
 
Yesu alisema, 'Mtawatambua kwa matunda yao'. So wewe angalia kinywaji kilichopo ndani then utoe jina!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom