Hii sms ina maana gani

Hii sms ina maana gani

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,528
Reaction score
2,188
Sms hii nimepokea kwa simu yangu muda si mrefu na nimeshindwa kuielewa
From +353879501580
Your Mobile# have won 500.000.00 GBP in the Coca Cola Promo. Email Your Full Names,Address & cell# to: claimsdept@cokecola.co.za for info Call +27848360220
 
mkuu namb ya mwanzo code zake angalia ktk simu yako int no ya pili south africa mtandao wa cell c pia coce hawatumii mitandao+ya+viganjan wanatumia landline
 
Sms hii nimepokea kwa simu yangu muda si mrefu na nimeshindwa kuielewa
From +353879501580
Your Mobile# have won 500.000.00 GBP in the Coca Cola Promo. Email Your Full Names,Address & cell# to: claimsdept@cokecola.co.za for info Call +27848360220

Ifute uendelee na shughuli zako. Ni utapeli wa kizamani saaaaaaaaana. Utashindaje kitu ambacho hujashiriki. Ukiwatumia hizo details wanazotaka watakuambia utuma ada ''ndogo sana'' ili uweze kupewa zawadi yako. Na ukituma hiyo ada ndio umeliwa!
 
Wamenisacha hoi hapo kwenye 500.000.00 GBP sasa sijui ndo manini hayo??!!
 
Wapigie

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
tegemea kuibiwa pesa za maandalizi ya kukutumia pesa yako uliyoshinda bila kushiriki!
 
Matapeli hao brother nvyojua ukituma hizo detail zako waweza ibiwa hata pesa kwenye m-pesa wabngo ni wanjanja sana wana mbinu nyingi
 
Back
Top Bottom