Hii siyo Fair Dada zangu tutakuja kuuana.

ndio utie akili......
ndani ya miezi minne unatangaza ndoa......
nani alikwambia huwa tunataka kuolewa haraka haraka.....
au mnadhani huwa na sisi hatuhitaji kuwachunguza.....
next time usirudie......ni kosa kubwa sana kushobokea ndoa mapema.....
pole lakini.....itapita utazoea....ndio maisha......

kweli dear, akajipange asirudie makosa. Tena sio kutangaza ndoa tu, hata kuvalishana yale mapete ya uchumba ni no no no no.....
 
Siona haja ya kufanya hivyo kwasababu sio mhanga. . .Ila nashangaa mtu kama wewe ambae ni wa upande wa pili, ambae ameshashiriki kuingiza wadada wawili chaka akikandia mwenzie kana kwamba yeye ni msafi sana.

Hehehe. . .I personally au unaongelea generally? Binafsi kwa namna ambavyo nipo straight na watu wengine. . . hamna kinachoweza kunifanya nishindwe kukabiliana na maisha kisa mawazo ya watu wengine juu yangu.

Lizzy, Mimi si wa upande wa pili-Mimi ni mhanga wa upande wa kwanza...case yangu ni very different na kinachoongelewa hapa mummy. Sikudanganya hata kidogo, Nilikuwa dilemma kama wengine baada ya kuonjeshwa vitu vya next level...Ila niliact wisely, sikutenda dhambi, nikaomba ushauri, nikaufuata na sasa nasubiri matokeo...Sijamuingiza mtu chaka kwa sababu kila mmoja alikuwa anajua hali halisi
Hebu acha kulipaka tope my good name hapa...
 
Ndani ya miezi 4 unapeleka barua! Ningekuwa mimi ningekukatalia hata kama sina mchumba.

kweli dear, akajipange asirudie makosa. Tena sio kutangaza ndoa tu, hata kuvalishana yale mapete ya uchumba ni no no no no.....

wanaume huwa wanadhani ni wanawake wote wana mipresha ya kuolewa.......
kumbe kila mtu anakuwa na mipango yake........
ndani ya miezi 4......inatosha kuwa umeshamjua mtu kweli....?
saa hiyo ana kichaa na kipindi cha mawingu kimeshapita ni mpaka miezi6 tena....hujaingia mkenge....?
aaah....puliiiz jamani......he!

Lizzy, Mimi si wa upande wa pili-Mimi ni mhanga wa upande wa kwanza...case yangu ni very different na kinachoongelewa hapa mummy. Sikudanganya hata kidogo, Nilikuwa dilemma kama wengine baada ya kuonjeshwa vitu vya next level...Ila niliact wisely, sikutenda dhambi, nikaomba ushauri, nikaufuata na sasa nasubiri matokeo...Sijamuingiza mtu chaka kwa sababu kila mmoja alikuwa anajua hali halisi
Hebu acha kulipaka tope my good name hapa...
Just one question. . .
Kama kila mmoja alikua anajua hali halisi iweje 'mchumba' wako hakua anajua unafall kwa mwanamke mwingine ila sasa anajua kwamba ulifall?
 
Kwa sababu hata mimi mwenyewe nilikuwa sijui kama ningefall nikajajua baadaye kama yeye!
Just so you know(nilikaribia kuanguka-sikuangukia pua in love with her)
 
USINGEJUA ungefall . . . ?Haya hiyo inaruhusiwa. . .ila ulitakiwa kutoa taarifa wakati UNAFALL.Hapo nisingekuita wale wale maana ungekua mmoja wa wale wakweli.
 
Lizzy na Petcash naona maluelue tu hapa.....kwaherini. Gazeti pole sanaaaaaaa
 
USINGEJUA ungefall . . . ?Haya hiyo inaruhusiwa. . .ila ulitakiwa kutoa taarifa wakati UNAFALL.Hapo nisingekuita wale wale maana ungekua mmoja wa wale wakweli.

I've just said sikufall, nilitumia busara zangu kujishikilia nisianguke!
na akajua kwamba nilikaa ukingoni kwenye hatari ya kufall...
 
wanaume huwa wanadhani ni wanawake wote wana mipresha ya kuolewa.......
kumbe kila mtu anakuwa na mipango yake........
ndani ya miezi 4......inatosha kuwa umeshamjua mtu kweli....?
saa hiyo ana kichaa na kipindi cha mawingu kimeshapita ni mpaka miezi6 tena....hujaingia mkenge....?
aaah....puliiiz jamani......he!

Tatizo lao huwa wanajua kila mwanamke anataka ndoa, ni kweli asilimia kubwa ndivyo walivyo mtu anakwambia bora niingie tu halafu nitoke lakini sio woote ingebidi asome mazingira kwanza. Anaetaka ndoa fastaa utamjua tuuu kaka G. Ila mimi nahisi kwa huyu ilikua kinyume jamaa ndio alikua anamuwashawasha wa kuoa nasi mwanamke.
Bi dada alijua anakula kitarehee tu wakati mchumba wa ukwee yuko DUBAI hahahaaaa
 
I've just said sikufall, nilitumia busara zangu kujishikilia nisianguke!
na akajua kwamba nilikaa ukingoni kwenye hatari ya kufall...

"Yani pet money bora ungecheat, nikajua shetani kakupitia na mambo yanaweza kwenda sawa, but you being in love with another woman? binti kalia sana!"

Hiyo sehemu/mawazo/fikra za wewe "being in love with another woman" alizitoa wapi? Au ndo unataka kuniambia kwamba waweza kuwa in love BEFORE falling in love? Au ndo bibie aliongezea chumvi?
 
Bibie ali'complicate' mambo
 
Tatizo lao huwa wanajua kila mwanamke anataka ndoa, ni kweli asilimia kubwa ndivyo walivyo mtu anakwambia bora niingie tu halafu nitoke lakini sio woote ingebidi asome mazingira kwanza. Anaetaka ndoa fastaa utamjua tuuu kaka G. Ila mimi nahisi kwa huyu ilikua kinyume jamaa ndio alikua anamuwashawasha wa kuoa nasi mwanamke.
Bi dada alijua anakula kitarehee tu wakati mchumba wa ukwee yuko DUBAI hahahaaaa

chezea mchuchu wa Dubai.....ha ha ha......
kitu cha Emirati.......
utakuta bi dada anataka kupanda eropleni.....yeye anamletea mambo ya Super Feo......inahuuuuu.....
 
pole sana mkuu! shori inaelekea alikuwa anahitaji more options! kipenzi chake ni wa yule wa dubai lakini maybe haoni kama alikuwa na dalili na malengo naye .. alafu ukatokea wewe ambaye unahitaji muanze maisha pamoja! alikukubalia huku... akijaribu ku explorer her options! ....

miezi 4 inatosha sana mkuu!!! ameamua kukutenda tu huyo shori..! mbona katika arranged marriage hakuna cha kujuana unaletewa mke toka kijijini .. humjui moja wa kumi... na ndoa zinadumu...!

hebu mmpe dedication hili song

[video=youtube_share;SR6iYWJxHqs]http://youtu.be/SR6iYWJxHqs[/video]
 
Pole ndugu ktk jf. Dada zetu siku hizi wana matatizo sana, ukweli kwao ni dhambi na hivyo wanaogopa kumkosea mungu wao aliyewaamuru kuwa wasiseme ukweli.
 
pole kaka hadi unashindwa kuangusha utaalam kweli ulipenda.
sasa kijana hawa wadada full usanii na wana roho mbaya sana sasa hapa wee chovya na kusepa dnt trust them.
 
Back
Top Bottom