Hii sisawa wazungu wanatuharibia watoto

Hii sisawa wazungu wanatuharibia watoto

Just imagine, ile nyumba iko pale nyuma ya makaburi....ni fence tu ndiyo inayotenganisha na makaburi. Na nafikiri hata watu wanaokamatwa pale makaburini wakifanya mapenzi wanatoka kwenye lile jumba. Kwa kukosa nafasi wanakwenda kufilana makaburini, yaani juu ya kaburi la mtu.

Laana mbaya sana pale makaburini watu wamepafanya ni gesti yao salama! Huwa najiuliza ni wazima kweli hawa ???
 
Me sjaelewa sawa sawa coz apo naona kavaa shanga na uvaaji wa shanga kwa africa ulianza bila hata ya wazungu. Halafu sisi wazee wetu waliziba kwa mbele tu makalio yote wazi si bora izo bikini zao zina kiuzi kinapita kwa nyuma..........
Pamoja saaana kiongozi.
 
Mshana,mbona nguo sio asili yetu kiongozi?Halafu hiyo kweli ni afrika!

Ni kweli lakini mababu wa mababu zetu hawakuwahi kutembea uchi wala kujibinua kama huyu jamaa!! Hapo ni South Afrika jimbo la mphumalanga
 

Attachments

  • hinna.jpg
    hinna.jpg
    72.4 KB · Views: 196
acheni kudhalilisha watu angekuwa kaka au mjombaako ungepost?
 
Back
Top Bottom