Hii siri yangu ya ushindi

Hii siri yangu ya ushindi

MEN TO MEN
Nimefany uchunguz ni kweli karufuu pia kwa mwanaume inaongeza joto kweny ume , ni me date na WA dada 5 wanasema Nina joto sana wanacum kirahisi siri ni karafuu
😀 Etii mna joto la wapi sasa!!
La poumbou? 😹
 
MEN TO MEN
Nimefany uchunguz ni kweli karufuu pia kwa mwanaume inaongeza joto kweny ume , ni me date na WA dada 5 wanasema Nina joto sana wanacum kirahisi siri ni karafuu
Daah mkuu hili neno Kwa joto Kwa man haijakaa mkao
 
Unatembea na maskrepa yamechoka halafu unajisifia ujinga, nani alikwambia mwanaume sifa yake joto?😂😂😂
 
Utafanya walimwengu wajichomeke karafuu kwenye kale katundu ka mkojo waishie kuumia.
 
🤣Maisha yalikua mazuri sana kipindi kile wanaume wanaenda vitani, halafu wanafia Vitani
 
Ww karafuu kuna wengine humu walishatuambia ni pilipili manga, wengine tangawizi,wengine mdalasini,wengine vitunguu swaumu na wengine vitunguu maji bado wa hiliki ili tupate mjumuisho kuwa siri ya huko faraghani ni viungo vya pilau tu
 
Back
Top Bottom