Hii inaukweli jaman msibishe! Mimi mwenyewe ilikwisha wahi kunipata,mwaka 02 nikiwa nyumbani mugumu-serengeti nilikuwa na mahusiano na dada m1 askari magereza akiitwa Mariam seif,nilikuwa na Mahusiano naye kwa kipindi cha miez 9 kumbe yule dada ni muathirika wa virus na hakuwahi kuniambia kabla na mbaya ckuwahi kuvaa condom katika mahusiano yetu, baadae inssue ilienea kuwa yule dada ni muathirika ilinifedhehesha xana na cha ajabu yeye mwenyewe alikiri kwangu kuwa pesa alizokuwa akinipa ni za kununulia sanda kwani anajijua na amekwisha niua cha ajabu hata nyumbani walianza kuninyanyapaa hadi kutengewa vyombo vya chakula ili nisiwaambukize,shuleni pia ilikuwa kasheshe kwani nilikuwa sec pindi hicho pale kisangura,walimu kwa wanafunzi baadhi walionyesha ubaguzi na unyanyapaa waziwazi, kituko ni kwamba,niliamua baada ya kusitisha mahusiano na yule Askari magereza nilianzisha mahusiano na baamed ambaye naye alikuwa ni mwathirika kwa lengo la kujipoza na machungu kwani 2liambiana sote ni carries! Mungu wa ajabu mwaka 05,miaka mi3 baadae nikiwa cjaona dariri za ugonjwa mwilini kwangu na pindi hicho huyo baamed kesha fariki nilipata ujasiri wa kwenda kupima na nikajikuta Negative! Ckuamini matokeo ikabidi niende mwanza kuludia vpmo napo nilienda Angaza nikajikuta mzima,nikajiuliza imekuwaje? Kwani ngono niliyofanya na hao waathirika si salama ictoshe 2likuwa 2kinyonyana sehemu za siri?na ajabu zaidi mwaka 07 nilipata kuondoka na kwenda kufanya kazi kwa mzungu m1 huko porini sharti ni kupimwa damu nilikubali na kupimwa nikaonekana niko fit,baada ya kufanya kazi kwake kwa muda sasa akanipa sponsser ya kusomea ujuzi wa ndege ambayo ni kazi ninayoifanya hadi leo je vjana hamtaki kuamini? Mimi ni mzima kbsa na ninajuta kwa kutaka kujiangamiza maksdi ,damu yangu ni group 0 ve,ulefu ni cm 182.5, nilitahiriwa kimira mwaka 98,ukitaka kujua chochote kuhusu mimi ni pm nitakwambia.