Hii Sio Ya Ajabu?

Ndiyo hii si ajabu, she is your next girl friend..!
 
Pengine hajui maana yake jamaa kashapata pamba ya mtoko
 
Duuuh Bujibuji kwani hajui kizungu mpaka kutuvalia fulana yenye maandishi hayo..? Hebu Safari_ni_Safari mtafsirie hiyo maana yake..
 
Last edited by a moderator:
Hapo huwa nakumbuka wimbo wa Kabaka, "Someni vijana, ongezeni pia bidiii mwisho wa kusomaaa mtapata kazi nzuri sanaaaa"

Sasa hapa itakuwa sio kazi nzuri tu bali ni pamoja na kujitambua, "Sexuality".
 
Last edited by a moderator:
Hiyo siyo ajabu kabisa. Siku hizi ukikutana na mtu bila kujali jinsia yake, unauliza "Una Boyfriend au Girlfriend?"

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…