Sijambo......huyo sosoliso hana maan kabisa jana kanilengesha mtu mwingine ati ni wewe wacha nimfotoe
hahahahaaaaaaaaaa akurengeshe iri umvurugie..........ana akili sana mwenzio!!!
yaani ninapigwa vita pande zote na kiongozi anaetegemewa kushambulia ati ni Safari_ni_Safari..! na unajitahidi kweli yaani..
babe Paloma kuwa makini.. yaani tunawindwa kila pembe.. ci unaona mwenyewe..
Siku si nyingi.............mtakuwa
![]()
uuuwiiiiii.. babe wangu Paloma hebu njoo uone huyu Safari_ni_Safari anavyotuwangia.. mshindwe nawaambia..
uuuwiiiiii.. babe wangu Paloma hebu njoo uone huyu Safari_ni_Safari anavyotuwangia.. mshindwe nawaambia..
Ha ha haa......cant wait for this
![]()