Hii sio nzuri kabisa !

Matatizo mengine ni ya kujitakia wallah
 
dada hujaona popote pa kupiga ?
 
Anatumia fursa ya michezo kujua kama YALIYOMO YAMO au ni kapu tupu tu, ikifika zamu ya ngumi zile za kukumbatiana za kuvuta pumzi kama Tyson na Evander na jamaa atalipa kisasi
 
Usinikumbushe mwili unakufa ganzi
Ulipokua mdogo ulishawahi kupigana ugomvi wa kitoto kisha unaepigana nae anakuminya hiyo?

Mimi ilikuwa ukiniminya lazima nikung'ate, mwenyewe unaniachia
 
Ulipokua mdogo ulishawahi kupigana ugomvi wa kitoto kisha unaepigana nae anakuminya hiyo?

Mimi ilikuwa ukiniminya lazima nikung'ate, mwenyewe unaniachia

Hahahahaaa mi ilikuwa demu mambo ya kujifanya kidume sana akakama vyombo acha kabisa huo mziki...!!!! Alikamata halafu akawa anaminya mbona niliomba poo mwenyewe...niliondoka eneo la tukio kwa kutambaa...SITOKAA NISAHAU
Ila sasa cha kuchekesha mno tukaja kukutana chuoni halafu ndo ikawa kama vile
 
Pole sana.

Waliosema maisha safari ndefu hawakukosea hata kidogo ukichukua matukio, mikasa, vikwazo na mengineyo uliopitia kwa kweli ni safari tosha
 
Pole sana.

Waliosema maisha safari ndefu hawakukosea hata kidogo ukichukua matukio, mikasa, vikwazo na mengineyo uliopitia kwa kweli ni safari tosha

Yeah ni pamoja na adventure za utotoni thanks God tulivuka salama
 

Hahahaaa mshana jr una matukio wewe khaaa....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…