Hii sio haki

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera dear...nmekuona kweli umewahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hizi tunapishana Sana humu,hatuonani
Hatariiii dia wanguu😂😂😂😂😂😂siku napokea tuzo naomba tusipishane tuu
 
we Demiss si wewee uliyeratibu mtu kupata hiyo nauliiii? au niwewee umechukua nauli hiyooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
hata kama ni ndogo ni pesa, una haki ya kudai.....nasisitiza rudisha pesa ya wenyewe....tafuta zako ugawe...
 
Nadhani ni vizuri tuwe tunaanzisha mada kama umepigwa laki hivi na kuendelea,ingependeza zaidi...tukiwa tunalalamikia vitu vidogo inakuwa ni rahisi mtu kujua 'status' yako pamoja na huyo aliyekuzurumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…