Hii sio haki

Ila nanyi muache gubu chaaaah!!
 
Wanaume wa dar bhaaana mnatuchosha,na visket vyenu. 4800 ndio unalia mpaka unaanzisha na uzi? Kweli nimeamini wanaume wanaisha
 
Ndio shida ya gari za kuhongwa...hadi mafuta unawekewa!πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
🀣🀣🀣nihonge wewe basi kama ni rahisi hivyo...lol
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenza sie tunajua ya mafuta ya taa tu[emoji85][emoji85]
Na mafuta ya bebi kea tuu jomoniii🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ushauri: Kama hauko tayari kupoteza nauli, ukiombwa nauli mwambie 'tumia yako ukifika nakurudishia na ya kurudia'
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio tabu za guta jomoniii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…