Hiyo wenzetu wanaita "involuntary erection" husababishwa na hofu na au mshtuko, moyo huenda mbio na damu hu flow kwa haraka zaidi na huishia kujaa kule ambako pana capacity ya kupokea hiyo flow, Hii hutokea hata asubuhi wanapoamka wanaume inaitwa "morning boner", sababu yake inafanana na hiyo, maana binaadam akilala anakuwa relaxed na mapigo ya moyo huwa normal au even slightly below normal, akiamka moyo hu-pump zaidi kidogo ya alipokuwa usingizini hupelekea flow ya damu kwenda kwa haraka na huishia kule kule kwenye capacity ya kupokea hiyo flow na result ndio hiyo "morning boner"<br />
<br />
Na ni vizuri kuwa imekuwa designed kwenda huko (kwa kudra zake Mwenyeezi Mungu, imagine ingekuwa haiendi huko, stroke zingezidi duniani hususan kwa vijana wa kiume.<br />
<br />
Hope that answers the question.