Hii simu sasa imenishinda

Swali nje ya mada mkuu,android box km hii kwa bongo naweza kuipata kwa shilingi ngapi?
yamejaa kibao aggrey kariakoo, pia kupatana zipo unaweza wasiliana na muuzaji.

bei zake nyingi ni 100,000 mpaka 200,000

ila za kichina wanachoandika na unachokipata sometime sio, hasa hizo 4k na codecs kama HEVC.

kama unataka uhakika kwa budget ndogo agizia amazon fire stick, budget ya kati tafuta xiaomi mi box, budget kubwa tafuta nvidia shield.
 
Ahsante chief,kuna ndugu yangu yupo israel,ndio alinitumia hiyo picha,kwa kule km hiyo inasimama kwenye euro 40!ndio nikataka nijue na bei ya k`koo
 
flash simu hakuna shida ya battery
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…