Nashukuru mkuu kwa kujali niliamka nikiwa na speed ila niliirudisha nashukuru waiipokea wakanipa nyingine..Kwa dalili naona ni feki, Jaribu kwenda kwenye about > Online update. Kisha niambie endapo update imereturn failure kabla ya kusearch.
Nashukuru mkuu kwa kujali niliamka nikiwa na speed ila niliirudisha nashukuru waiipokea wakanipa nyingine..