Duu ingekua inatoa chochote ningekuambia ijaribu kwenye pc kama ingesoma, hapo mchezo ungeishaa, ngoja wengine waje..
Ila mkuu ionee hio simu hurumaaa..
Tecno kwa miaka 3, ni more than fair...
Life span ya uhakika ya simu nyingi ni 3yrs hata watengenezaji wanatengeneza kwa kujua hilo.
Mkuu Walanti ni 1 yr kwa simu za tecnoDuu ingekua inatoa chochote ningekuambia ijaribu kwenye pc kama ingesoma, hapo mchezo ungeishaa, ngoja wengine waje..
Ila mkuu ionee hio simu hurumaaa..
Tecno kwa miaka 3, ni more than fair...
Life span ya uhakika ya simu nyingi ni 3yrs hata watengenezaji wanatengeneza kwa kujua hilo.
Hii 3 years sio kwa Apple Devices.
Wakuu hapa sikua namaanisha warranty..
Peleka calcare wataitengeneza. Hiyo simu ina tatizo la software. Na huo mtindo wa simu kutokuwaka wala kupokea moto linatokea kwa simu kama hizo.Wakuu hapa sikua namaanisha warranty..
Max warranty inakuaga ni 2yrs na mengins ni 1yr, refurb ni miezi..
Hiki ni kipindi ambacho wanajua simu ukiitumia vizuri basi itatoboa....
Na ukishafika mwaka wa tatu kuendelea uhakika huo haupo tena, ndio maana kampuni haihusiki tena..
HAKUNA KAMPUNI YA SIMU YENYE WARRANTY YA MIAKA 3.
hahaha mkuu lakini si unajua sisi wazee hatuna mambo mengiDuu ingekua inatoa chochote ningekuambia ijaribu kwenye pc kama ingesoma, hapo mchezo ungeishaa, ngoja wengine waje..
Ila mkuu ionee hio simu hurumaaa..
Tecno kwa miaka 3, ni more than fair...
Life span ya uhakika ya simu nyingi ni 3yrs hata watengenezaji wanatengeneza kwa kujua hilo.
asante kiongozi kwa hapa dodoma wana ofisi kweli??au hadi nikirudi dsm kariakoo kulePeleka calcare wataitengeneza. Hiyo simu ina tatizo la software . Na huo mtindo wa simu kutokuwaka wala kupokea moto linatokea kwa simu kama hizo. Nilishashuhudia shida kama hiyo kwenye tecno Phantom pad mini na tecno L3. Simu inaweza isiwake wala kupokea charge lakini kwenye PC inaonekana kwa hivyo jamaa wataiFlash na Stock Rom. Usikubali fundi aipige hot gun maana ataiharibu kabisa.
From JF App
Inawezekana pia imeisha charge kabisa, umejaribu kuiboost na Kobe?hapana chief haiingii,nafikiri sijui ndo itakua imelala usingizi wa kifo
Then option inayofuatia hapo ni kuflash,Kwenye kobe battery iko full kiongozi