Hii SILAHA imepotelea wapi?

Hii SILAHA imepotelea wapi?

AgentX

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
1,651
Reaction score
1,701
The Gustav railway gun, weighing in at 1,490 tons, is the largest-caliber weapon ever used in combat. 1435477299613.jpg

Rejea kichwa cha Habari.

Pia ningependa kujua zaidi kama kuna ambaye ana more info kuhusu huo mtambo.

Imagine tungekuwa nao kipindiii kileeee Idd Amin Dada katuchokoza unafikiri Leo kungekuwa na Uganda?
 
The Gustav railway gun, weighing in at 1,490 tons, is the largest-caliber weapon ever used in combat.View attachment 264046

Rejea kichwa cha Habari.

Pia ningependa kujua zaidi kama kuna ambaye ana more info kuhusu huo mtambo.

Imagine tungekuwa nao kipindiii kileeee Idd Amin Dada katuchokoza unafikiri Leo kungekuwa na Uganda?

ipo....ila inawasubilia UKAWA wakichukua nchi utaiona…
 
Mkuu si ya kwetu hiyo. Na kama tungekuwa nayo lazima tungeiona ktk miaka 50 ya uhuru. Si unamjua JK kwa kuji proud.
 
Dotworld mzee wa vifaa vya vita tunaomba msaada wako.
 
Last edited by a moderator:

Ingepita barabara gani mkuu? Tani 1400 ni sawa na kilo 1400000. Barabara zetu ukipitisha tani 200 ni shida.
 
Ni railway gun, inapita kwenye reli.Reli inaweza kubeba uzito mkubwa sana ingawa sijui limit halisi
 
Nani alikuambia kwenye maadhimisho kama yale silaha tunazotegemea huwa zinaonyeshwa!? Pale ni za kawaida tu.
 
Ajee aisee. Atuambie US ana kipi... Hicho kilikuwa cha mh. Hitler (Germany)
Hakuna silaha duniani inayoweza kupambana na nguvu ya UMMA.
Rudia tena? Hahaha acha utani mkuu.
Ingepita barabara gani mkuu? Tani 1400 ni sawa na kilo 1400000. Barabara zetu ukipitisha tani 200 ni shida.
My bad.
Ni railway gun, inapita kwenye reli.Reli inaweza kubeba uzito mkubwa sana ingawa sijui limit halisi
Yap.
Nani alikuambia kwenye maadhimisho kama yale silaha tunazotegemea huwa zinaonyeshwa!? Pale ni za kawaida tu.

Ila hatuna silaha kali mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Silaha nyingi kubwa na immobile kama hizi huwa kazi yake kubwa ni kucreate fear kwa adui-nchi nyingi kubwa zimekuwa na silaha za mtindo huu just for intimidation-agile kwenye vita ndo mpango mzima
 
haiko practical vitani siku hizi. Sadam alitaka kutengeneza kama hiyo ila mwanasayansi wake aliuliwa na Mmossad.
 
mkuu umenikumbusha battlefield SEVASTOPOL the men of WEHRMACHT under the leadership of fieldmarshal VON MANSTEIN. Walitumia sana hii kitu baada yakukutana na upinzani mkali kutoka kwa the men of RED ARMY under the leadership of commanding general ivan petrov

https://www.youtube.com/watch?v=p_OuKwwzTvs
 
Back
Top Bottom