Habari,
Hii imeniuma sana kama nawewe imekuuma dhihirisha ni kipi hasa kimekuuma kama mimi ninavyodhihirsha hapa chini.
1: Nimeona kijana anakula ugali,baada ya akanawa na Maji safi na sabuni badala ya kuifuta mikono kwenye shati ama suruali,Hii sijapenda.
2: Mdada na mkaka wanakula Viazi vilivyokaangwa na nyama kisa wanaomba toothpick badala ya kuchokoa meno na miba,Hii sijapenda.
3: Kijana unamtongoza dem mwaka mzima kubembelezana badala ya kutaiming mahali analala na kumvizia saa9 usiku akiwa hajielewi na kula tunda for free, Hii nayo sijapenda.
4: Mtoto kumenyewa chungwa Kisha kukamuliwa Maji yake kwenye glass afu yeye anywe tu badala ya kumpa ale chungwa na maganda yake, Hii sijapenda.
5: Unashinda njaa,unalala njaa badala ya kwenda mahotel makubwa kama Golden tulip,au elegance hotel kuagiza msosi heavy Kisha ukalipie jela,Hii sijapenda.
6: Unakutana na dem mkali njian unamuomba namba anakusonya badala umfuate na kumshona kelebu mbili tatu wewe unanyongea hii sijapenda.
7: Unakutana na kaka mwenye mshiko mrefu anakutongoza unamkubbalia ukidhani atakuoa ukale bata nayeye badala ya kumkubalia Kisha kabla ya show unamkopa mpunga heavy unatokomea hii sijapenda.