Hii Si kweli... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii Si kweli...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TandaleOne, Sep 7, 2010.

 1. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Hivi huyu aliyekubali muandike kwamba toka JK aingie madarakani watu milion mbili zaidi wamekuwa masikini bila kuonyesha percentage ni nani??Alitoa oda makusudi au sababu hii itawagharimu.

  Angalia,mwaka 2005 Tanzania ilikuwa na watu chini ya million 34 na masikini wa kutupwa wapatao million 11.Sawa na asilimia 32%.Leo mwaka 2010 Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milion 42,Chadema inasema masikini wa kutupwa wamefikia milion 13 ongezeko la milion 2 na hii ni mbaya.Lakini angalia,13milion katika 42 million ni sawa na asilimia 30!!Mbona hiyo part ya analysis mmeiondoa???Makusudi,kwa sababu inaonyesha umasikini wa kutupwa unapungua Tanzania wakati ambapo nchi nyingi za Afrika kusini mwa Sahara hali si nzuri.Kuweni wazi,penye ukweli sema tu.
   
 2. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #2
  Sep 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180

  Angalia tena takwimu zako vizuri mkuu. Kwa takwimu za Tanzania Beaureu of Statistics zinaonyesha kuwa kwa sensa ya mwaka 1985 Tanzania ilikuwa na watu milioni 30, na kwa sensa ya mwaka 2002 Tanzania ilikuwa na watu milioni 40. Hizi za kwako kuwa mwaka 2005 kulikuwa na watu milioni 34 umezitoa wapi?
   
 3. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  TandaleOne,
  Wewe ni either ungali mtoto (halafu) akili zako nzito kupambanua yaliyo mbele yako; AMA umekuwa unaishi ughaibuni zaidi ya miaka kumi na tano sasa.
  Huitaji kuwa na shahada ya Takwimu kujua kwamba sasa ni vigumu kupata elfu kumi - na ukiipata matumizi yake ni mafinyu mno kulinganisha miaka mitano iliyopita.
  AMA labdfa tena ww ni kati ya wale ambao maisha yao yamelalia kwenye slogan hii: STEALING AND EMBEZZLING IN THE NAME OF POLITICS; REAP FROM where you didn't sow... etc
   
 4. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,197
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Wambadwa, kuna watu neema zao zimefunguliwa hawajui umaskini wa watanzania wa kawaida mwache, ndio hao wabongo wenye misamiati bongo tambarare wakati wengi wa tanzania wakiumwa malaria wananunua panadol kwa instalment ( huyo tajiri) wa kawaida anatwanga majani ya mpapai kutibu malaria.
   
 5. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Ughaibuni.Ukweli ni kwamba asilimia ya watu waishio katika umasikini imepungu ana hawa jamaa wamekwepa kulisema hilo.
   
Loading...