Hii si kasoro kweli...🙄

Hii si kasoro kweli...🙄

Bro,ukianza na uongo kwenye mahusiano lazmq itakuja kuleta mushker huko baadae...pia,kuoa mwanamke unaelingana nae umri kwa sasa hutaona n shida,huko mbelen sasa [emoji3][emoji3]....wanawake wanazeeka mapema sana tofauti na sisi,after 10 years utaanza kumuona kama mamako. Watalam wa mambo wanasuggest kua inabid umzid angalau 5 years,ila hii sio sheria.[emoji1534]
 
😀😀
Miezi mitatu haina Shida hata kidogo.
 
Sijui una umri gani kiasi uhofie vitu vya kipuuzi namna hii..,
umri sio tatizo kabisa kama mtu anakujali, kukuheshimu na kukusikiliza..
Kwani we unagegeda miaka yake, ujinyime raha ya moyo kisa umri, haya ndio unaoa chinj ya umri wako na hakuheshimu, kukusikiliza wala kukujali, katika mapenzi kuangalia umri hasa huo ni upuuzi.

Watu mliozidiana miezi mpaka miaka 5 ni rika moja tu, ama tunaweza kusema ni mchezo mmoja.
Tizama umri wa watu waliokuzunguruka katka mishe zako ambao ni kampani yako, mnayajenga pamoja, utapata jibu.

Uanaume ni pamoja na kufanga maamuzi ya kijasiri kwa ajili ya afya ya moyo wako tu.
 
Miezi mitatu si mingi ila kibaiolojia ni mingi. Mtoto aliyezaliwa leo na wa miezi mitatu wana tofauti kubwa sana sana.

Niliwahi kuwa na binti amenizidi miezi 3 alinipenda nami nilimpenda. Tatizo liliklletwa na nduguze hasa mama yake na dadake.
Hawakutaka kabisa aolewe na mtu mdogo kwake na yeye alikuwa kashazama.
Wakaanza kumpa mifano ya ajabu kumtisha..
Baadae akaanza kulegeza msimamo na basi mambo yakaishia hapo.

Nikakamatia chuma kingine nikaoa.

Mpaka leo anajilaumu sana kusikiliza nduguze.
Mwambie ukweli huyo wako mapema, ili imsaidie kuachana taratibu pasipo maumivu makali ya gahfla.
 
nilishawah kua na mwanamke alonizidi 5years ,haikua shida tulikuja kuachana kwa mambo mengine kabisaaa...kama mwanamke akikuchoka atakuacha kwa sababu we mweupe kumzidi(nilishawah kuachwa kwa sababu hii😂😂😂😂😂)
 
Kuwa na msimamo na usiogope kumpoteza upendo upo kokote usijitese na mtu mmoja mwambie mbona Jambo dogo sana ilo sasa ungekuwa na mke ukadanganya huna ndyo umempata ungeweza kumwambia kweli kuwa Una mke? Kuwa mwanaume mwanamke akishakukubali ni rahisi kumwambia lolote na akakubali ni msimamo wako Tu ulivyo
 
Umri ni namba tu,Papuchi hazina size kama kiatu kwamba kitakubana au kukupwaya na wenye umri mkubwa mahusiano yao hudumu mara nyingi sababu wameshajitambua.
 
Kwanini ulimuongopea? Kweli humuweka mtu huru lakini Miezi Mitatu tu sidhani kama kuna shida hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom